form four failure uhuni? Uliza waziri wako wa elimu tanzania awamu ya mkapa alikua na dvsn ngapi form four? Na wazaz wako wamefika form four? Kama wamefika wanadvsn gan? Jua maana ya neno ndio ulitumie.
ukiacha tofauti zao na sugu katika dili la malaria ruge ni mwizi wa kazi za wasanii anatumia ikulu kufanikisha dili chafu na wasanii wa bongo kama misukule yanamuogopa sijui kwa nini na hii vita wakiungana wasanii watanufaika shoo anawalipa laki 1 wakati hela anapata kwa sponsor wasanii hakuna NSSF huko mbele kusema itawasaidia