Sugu na Halima Mdee wafunika Arumeru


Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
Aliyekwambia Joseph Mbilinyi amekwenda Arumeru Mashariki ni nani?

Umeamka usingizini au bado unaota??!!!

 
Mwambie vinega wengine leo tutakinukisha mahakamani kisutu, tunamsaga kusaga with no apology
 

Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu
 

hao wasanii ni wale Vinega au?

 
Good thang!
Kama watu wanaelewa kitendo cha kutokuwepo kwa Nassari kuwa si kuvunjika kwa kampeni, basi hii ni hatua ya pekee!
Congrats wana Arumeru!
Halima na Sugu wana mvuto wa aina yake..We need more young persons like Nassari in the Parliament!
 
Aliyekwambia Joseph Mbilinyi amekwenda Arumeru Mashariki ni nani?

Umeamka usingizini au bado unaota??!!!


Kumbe tulikuwa tunadanganywa kuwa Sugu yuko Arumeru? ili iweje? kwanza hata mimi ningeshangaa, angeenda na bendi au?
 
This thrid'z luck of impact,naskia mmeandaliwa na gambaz kupiga online campaign na huwa ID zenu wanazijua so ili msionekane hamfanyi kazi mnapost 'drakatumba'we ni kiazi buruka
 
Good thang!
Kama watu wanaelewa kitendo cha kutokuwepo kwa Nassari kuwa si kuvunjika kwa kampeni, basi hii ni hatua ya pekee!
Congrats wana Arumeru!
Halima na Sugu wana mvuto wa aina yake..We need more young persons like Nassari in the Parliament!

Duhh watamkumbuka mzee makamba, angechukua nafasi ya Tyson
 
Kumbe tulikuwa tunadanganywa kuwa Sugu yuko Arumeru? ili iweje? kwanza hata mimi ningeshangaa, angeenda na bendi au?
Ulikuwa unadanganywa na nani?
Kumbe upo upo tu!!.......Unapelekwa pelekwa tu.....

kanawe uso........
 
Jamaa wataanza kutafuta mchawi
 
Jana nilitoa comment kwenye ile thread ya Mwanakijiji ya kuwataka viongozi wa CHADEMA wa kitaifa kujiuzulu kama watashindwa kuibeba ARUMERU MASHARIKI. Nilikuwa najiuliza ni kwa nini hawa makamanda hawaendi huko kuongeza nguvujapo najua kuwa wana majukumu ya kichama na kijimbo ila kwa sasa Jimbo hili ni muhimu sana.
nashukuru kama wametia maguu huko.
 
Low thinking capacity!
Kiingereza chako hicho akina Masanja, Joti na wenzao wanakiita "Kiingereza cha masomo ya muda wa ziada" Huwezi kutafakari unataka kusema nini, wapi, saa ngapi na unamwambia nani. Angalia wenzako wanavyojikanyakaga humu kujaribu kujitetea, mara Joseph Mbilinyi hakwenda Arumeru, Mara kuna aina nyingi ya wafalme , tushike lipi sasa. Wasaidie hata ambalo thatha amewauliza la MALKIA hamnaye?. Mmeshindwa hata kumpeleka Bibi harusi mtarajiwa wa NASSARI?
 

kwaani ww ulionaje au uliowasikia kati ya hao uliowataja ni nani mfalme?
ingekuwa bora ukampeleka dada ako awe markia naye au hata ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…