Inamaana ile kinga ya mbunge akiwa bungeni huondolewa iwapo atakuwa mbunge wa CHADEMA?Makamanda leo Mh.Sugu anapelekwa mahakamani mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Sugu anakabiliwa na shitaka la kumtishia kumpiga askari polisi bungeni.
Inamaana ile kinga ya mbunge akiwa bungeni huondolewa iwapo atakuwa mbunge wa CHADEMA?
Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
wanataka "umaarufu kunuka"
Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
Ni muda mwingine jemedari wa kesi wakili tundu antipas lisu atakapowabwaga policcm,serikali magamba,dpp,werema & co. Mtajenga tu heshima na mtaacha kuanzisha kesi za kipumbavu
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Sugu alikua maarufu ndani na nje ya nchi kabla hata hajawa mbunge,sasa ni umaarufu gani zaidi unaohisi wewe?