'Sugu' kupokea maandamano ya TUCTA Mbeya

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
WAFANYAKAZI wa sekta za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma na binafsi mkoani hapa wamemkataa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, kupokea maandamano yao ya amani ya kupinga ongezeko la gharama za nishati ya umeme yanayotarajia kufanyika Januari 29, mwaka huu, badala yake wamekubaliana kumteua Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), maarufu kwa jina la Sugu kuwa mgeni rasmi wa maandamano hayo kwa kile walichodai kuwa mkuu huyo wa mkoa (RC) hana uwezo wa kufikisha kilio chao kwa wahusika.

Source: Tanzania Daima.

Hii ni aibu kwa Mkuu wa Mkoa kama wafanyakazi wako hawakuamini utakuwa utakuwa unaongoza kitu gani mkoani mwako, aibu.
 
Maandamano kama kawa sasa hivi. Polisi wamenywea kabisa baada ya mauaji ya Arusha yaliyofanywa na polisi...msicheze na nguvu za Wananchi.
 
WAFANYAKAZI wa sekta za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma na binafsi mkoani hapa wamemkataa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, kupokea maandamano yao ya amani ya kupinga ongezeko la gharama za nishati ya umeme yanayotarajia kufanyika Januari 29, mwaka huu, badala yake wamekubaliana kumteua Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), maarufu kwa jina la Sugu kuwa mgeni rasmi wa maandamano hayo kwa kile walichodai kuwa mkuu huyo wa mkoa (RC) hana uwezo wa kufikisha kilio chao kwa wahusika.

Source: Tanzania Daima.

Hii ni aibu kwa Mkuu wa Mkoa kama wafanyakazi wako hawakuamini utakuwa utakuwa unaongoza kitu gani mkoani mwako, aibu.

Kwa macho ya wananchi nani anakataliwa sasa? Kama Mkuu wa Mkoa aliteuliwa na Jk hatakiwi kupokea maandamano, nani anakataliwa sasa...JK kimbilia Saud na familia yako wata kupokea. Tuachieni nchi yetu tuanza upya....
 
Tangu jk aingie madarakani viongozi wa serikali kukatawalina na wakati mwingine kuzomewa imekuwa ni kawaida. Duuu! Watanzania sasa wamejanjaruka!!.
 
Hi Guys, this is getting interresting! Hii itasaidia wengine kuelewa maana ya watu kukukataa na wewe ukalazimisha ionekane wanakupenda. Narudia kusema kuwa kama wangetaka kujifunza wangewasikiliza wananchi,Tukisema Magufuli agombee basi agombee.Tukisema Kikwete basi tumekuchoka basi ieleweke hivyo! Hizi aibu zisingekuwa zintokea sasa.Natoa ombi MAALUM kwa Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Husika,Najua watakusomea hii,KAMWAMBIE MZEE,HATA HAO WALIO CHINI YAKE HAWAMPENDI.MWAMBIE ATUACHE TUANDIKE UPYA KATIBA YETU,ILI TUPATE SAUTI KUBWA YA KUMKABA KOO.AT MEAN TIME ANAWEZA KUANZA KUFIKIRIA MAJIBU YA KUWAPA WATANZANIA MUDA UKIFIKA. MWAMBIE ASIFIKIRIE KUTOROKEA UGHAIBUNI,HII NCHI NI YETU WOTE.ILA TABIA ZAKE NA JAMAA ZAKE FLANI ZIMEKUWA ZA KISALITI.Kutakasika kutakuja kwa kutuacha tumwajibishe na siyo kwa kukimbia.Unajua what happens unapokimbia? Unafia ugenini na ni aibu kwa Bosi wa great country like this.............No Offence. :)
 
Kwa macho ya wananchi nani anakataliwa sasa? Kama Mkuu wa Mkoa aliteuliwa na Jk hatakiwi kupokea maandamano, nani anakataliwa sasa...JK kimbilia Saud na familia yako wata kupokea. Tuachieni nchi yetu tuanza upya....

Super analysis. TUCTA walishamkataa JK kwa muda mrefu. mwaka jana kwenye sherehe za Mei mosi si waligoma kumkaribisha kama mgeni rasmi. Hii nchi sasa hivi inajiendesha yenyewe. Hata sijui km JK ana cha kutuambia ktk siku 100 zake za kipindi hiki ambazo zinakaribia kuisha.
 
Watu weeeee!! Ephraim Kibonde na Januari Makamba mpo mpaka hapo???
Mwanangu 'Sungu', utaifa mbeeelleee kama tai au sio!!!!!
Hebu kula tano zangu kwanza basi.
 
Vipi taarifa za ki-intelijensia, zinasemaje! Ah aijipiiiiiiiiiiiiii! sasa wanaandamana tu bila vurugu zilizokuwa forecasted na geshi la porisi!
 
Ni fundisho kubwa sana hilo kwa serikali, wafanyakazi kuikataa serikali ndio mwanzo wa mapinduzi.
 
Mkuu wa mkoa kapigwa kibuti inaonekana kila mtendaji anayeteuliwa na JK watu hamwamini hata kidogo kama hata Mkuu wa Mkoa naye haaminiki basi kikwete inakula kwake vibaya sana na bado haoni kama kuna tatizo
 
Watu weeeee!! Ephraim Kibonde na Januari Makamba mpo mpaka hapo???
Mwanangu 'Sungu', utaifa mbeeelleee kama tai au sio!!!!!
Hebu kula tano zangu kwanza basi.

Watendaji wa Kikwete hawaaminiki kama ilivyo kwa Kikwete mwenyewe
 
Super analysis. TUCTA walishamkataa JK kwa muda mrefu. mwaka jana kwenye sherehe za Mei mosi si waligoma kumkaribisha kama mgeni rasmi. Hii nchi sasa hivi inajiendesha yenyewe. Hata sijui km JK ana cha kutuambia ktk siku 100 zake za kipindi hiki ambazo zinakaribia kuisha.

Hata hiyo tathmini ya siku 100 anaweza asiifanye kuepuka kuulizwa maswali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom