Sugu kuenguliwa kura za maoni

Sugu kuenguliwa kura za maoni

HARAKATI-1

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
114
Reaction score
36
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
 
Amka wewe gamba unaota sasa hivi wakati jua linawaka.
Utakua una malaria imekupanda kichwani, wahi Hospitali usije ukawa kichaa sasa hivi.
Au ulikua unapiga ramli usingizini sangoma wako kakwambia hivyo, maana nyinyi kwa kuamini giza, hamjambo.
 
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
hakuna mbunge wa chadema ambaye ataenguliwa kwenye kura ya maoni
 
Sugu ni rais na mbeya ni nchi....iyo ni nukuu ya wanambeya.
Alaf imekuaje kwa sawa mada mpya za siasa zimelenga kuwachafua wabunge wa cdm jf? Zipo mada kama10 active zimelenga mp wa cdm? Kuna kitu uko!!
 
Sugu hana uwezo wa kuoniza na hajafanya la maana mbeya. Sema hata ccm mbeya hawajajipanga kwa hiyo cdm inaweza kupita kirahsi tu
 
Ahaaaaa kumbe tetesi, nilifikili verified information ngoja nipite harakati aendelee na tetesi zake
 
Eti wanatumia hata ukabila ! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu mkuu , sugu na mwambigija mbona makabila yao tofauti ?
 
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
Sidhani kama unawakilisha ya walio wengi,nadhani ni uroho wako tu.Tumeona mikutano yake,mtu huyu anonyesha kukubalika sana,Lakini ndiyo hivyo watu kama ninyi lazima muwepo ndiyo siasa za ushindani zinoge
 
Uzuri wa CHADEMA, hawachagui mtu kwa kutumia rushwa wala ubinafsi. CHADEMA ni chama cha watu wote na hivyo hakuna mtu mwenye hatimiliki kama ccm kwamba wakiyagusa mafisadi, seriakli yao itadondoka.

Ninachoelewa mimi, wagombea wote watawekwa kwenye mzaji na watapitishwa kulingana na sifa na uwezo wao katika nyadhifa wanazoomba, na muda ukifika tutataarifiwa wote.

Na zaidi ya hapo, kuna UKAWA ambapo naamini safari hii wagombea wa UKAWA watakuwa cream safi!. Kama Sugu atagombea, na ikaonekana kiwango chake ama vigezo vyak viko chini ya wengine, hatapitishwa kwa kuwa ni Sugu, na yeye bila shaka ataelewa tu. Na kama atakuwa ni bora kuliko wote, bila shaka atapitishwa na yeye atajua. Sitegemei itakuwa kama wale wa ccm wanaitwa kwenda kuapishwa wakiwa kwenye ulabu wala hawana habari!. CHADEMA si ccm.

DEMOKRASIA MBELE, UKOMBOZI WA WATANZANIA KIPAUMBELE.

Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
 
Mmmmmmmmmmm!
Mimi natokea mbeya lakini sijaona wala kusikia habari kama hizo, na mimi binafsi naona kama jamaa bado anakubalika
 
Umesikia vibaya ila tetesi yenyewe ni kuwa baba yako kaenguliwa na mama yako kisa hawajibiki ipasavyo halafu kuna taarifa kuwa anatafuta namba yangu ya simu mwambie mi nina mke arudi tu kwa babayo hata kama hajiwezi.
 
Kijana Anaekubali Kutumika Nihatari Mno, Jaribu Kusimama Kwa Akili Zako Ili Ujue Athari Zakuwatumikia hao Wezi na Mafisadi Wa Mali Za Uma...Mh SUGU ndio chaguo la wanambeya,Mh SUGU ndio shujaa wawanambeya Elewa Sugu Hatishwi,Hatishiki na Yupo Tayari Kwa Mapambano..?
 
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote

ka intarahamwe kadogo bwana cheki kanavyohangaika hao vijana walikuwa wapi toka mwaka 1961??? sugu hatok ndo kaanza hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom