Sugu jimboni kwa mwakyembe

Wakwetu03

Senior Member
Sep 15, 2010
190
81
DSC_0000009.jpg Watu wnadai kuwa eti vijijini cdm haikubaliki,hii picha inajieleza yenyewe.Hapo ni wakati mh Sugu akilitwaa jimbo la mwakyembe.
 
Ukiangalia mikutano ya chadema na ile ya nape na wapambe wake,utajua kuwa ccm kimekosa mvuto kwa wananchi kwa idadi yao ukiwahesabu hata huwezi kumaliza vidole,.namshauri nape atafute pesa za kuhonga wananchi waje kumsikiliza porojo zake na mwigula wake.pia tunamtaka nape arudishe kadi ya chadema.
 
Mkuu, naona huyu hana kadi ya chadema. Labda ana kadi ya kile chama cha jamii aka CCJ.
 
Tusaidieni kujua kama nape ile nyumba ya urafiki aliipata kwa kufuata taratibu zote maana nasikia nako ni kafisadi fisadi vile
 
Back
Top Bottom