Sugu atikisa Makambako

safi sana Sugu, amsha watu wa Makambako waamke usingizini, ni aibu kupeleka mbunge wa darasa la pili bungeni, hatutaki kuona hali hii ikijirudia tena, tuige mfano kwa wenzetu wa Iringa mjini kwa Msigwa.
 
kimbiza hao sugu tuko pamoja.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…