Hakuna zaidi ya siasa chafu tu hapa tatizo vyama vyetu katika saa moja jukwaani nusu saa ni kuponda mwingine dk 20 kujisifu na dk 10 hoja za maendeleo.yy ndo anampa umaarufu zitto kwa kumuongelea si angekaa kimya asubiri aje aumbuke yani dhahiri anagawa ukanda kisasa mchana kweupe
Ndio yule alieimba nipo mikononi mwa polisi,maisha yangu bado ni mikosi afandeeee.!!!!!Dah Nchi hii bwana! Nisaidieni wakuu,Hivi sugu Huyu ndio yule aliyekuwa anaimba 'ana miaka chini ya 18?
mm ni mkazi wa makambako,bt leo ilikuwa mkutano mbovu na usiokuwa na watu kati ya yote ilowahi fanyika.sijui yawezekana hakukuwa na hamasa (pa) ya kutosha