bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,371
- 24,603
Mazao yote yana soko nje shida ya wabongo janja janja nyingi
Bila shaka.Hapana, tunahitaji sana watu wa aina hii kwenye siasa na uongozi ili wawapeleke watu kwenye mafanikio.
Kiongozi chokoraa na kibaka, atakuongoza, akufikishe wapi?
Ukiwaona kwenye jukwaa P Diddy, Ashanti, Dr Dre, Ja Rule na Snoop Dogg umri waenda lakini wakiwa jukwaani ni kama enzi zao miaka ya 1990s, na uzuri majuzi Snoop alitangaza ameacha rasmi kutumia mmea.Hii idea ya kudhamini tamasha kama hilo ninayo sema hela ndio sina. Mpaka nipate hela wasijekuwa wamezeeka wote au wamefariki, au nisipate hizo hela.
Changamoto ni kuwarudisha kwenye form wengi wao hawana mazoezi ya sauti, discipline hawana kuna wavuta bangi madawa na pombe, hawana maisha na wengine wamejipata, hawazingatii mikataba na makubaliano. Yani changamoto kwao ni nyingi ila suala la marketing linafanyika vizuri hata media baadhi zikisusa.
Anyway kuwaza ni bure. Hela sina mimi ila ningekuwa nayo sasa!
ELimu ni maarifa mkuu, elimu sio kuweka A" kwenye makaratasiHivi level ya elimu ya sugu ni ipi?
Mkuu, jaribu maharage ya Mbeya na yale ya Rukwa ni mazuri sana. Hata mahindi ni hivyo.Napendekeza hili jambo litangazwe vizuri.. hayo maharage tutamuuzia nani? Wapi? Kwa bei gani? Au tuje PM?? Msimu huu ni wa mavuno ya maharage na tunaendea kilimo cha maharage awamu ya pili ni vyema tungepata taarifa kamili ili tuweze kuwekeza na huko badala ya kuandika habari nzuri kama hii kisiasa tuu. Any way ahsante Sugu naomba vyombo husika visimkwamishe kwa jambo hili kwakuwa tuu yeye ni Mpinzani. Ni vyema maslahi ya mkulima yakatangulizwa kwanza.
Aluta continua... CDE Mtwa mkulu kutoka mgololo
Erythrocyte
Ujanja mwingi na maarifa zero.Mazao yote yana soko nje shida ya wabongo janja janja nyingi
Wacha kutapeli watuTanzania soko la mihogo lipo tena kubwa.Kiwanda cha Azania Millers pale ubungo hununua makopa ya mihogo iliyokaushwa kuanzia tani kumi kiasi chochote hata uwe na tani milioni moja
Mwenye mihogo hiyo iliyokaushwa aweza dhibitisha hilo awasiliane nao awaulize bei wananunua awapelekee pale kiwandani
Usiondoke JFNapendekeza hili jambo litangazwe vizuri.. hayo maharage tutamuuzia nani? Wapi? Kwa bei gani? Au tuje PM?? Msimu huu ni wa mavuno ya maharage na tunaendea kilimo cha maharage awamu ya pili ni vyema tungepata taarifa kamili ili tuweze kuwekeza na huko badala ya kuandika habari nzuri kama hii kisiasa tuu. Any way ahsante Sugu naomba vyombo husika visimkwamishe kwa jambo hili kwakuwa tuu yeye ni Mpinzani. Ni vyema maslahi ya mkulima yakatangulizwa kwanza.
Aluta continua... CDE Mtwa mkulu kutoka mgololo
Erythrocyte
Erythrocyte tapeli na wahuni sana na Sugu wake😃😃😃 sasa hapo kuna mfanyabiashara yupi hapo na vikaptula vyao😃😃😃Umeshaita wazungu hapo hskuna kitu walipita kujibanza pale hotelini unatulitea mauza uza ya stori!
Yeye mwenyewe kashindwa kuwafahamu kaishia kuwaita wazungu!Erythrocyte tapeli na wahuni sana na Sugu wake😃😃😃 sasa hapo kuna mfanyabiashara yupi hapo na vikaptula vyao😃😃😃
Na wewe umekula maharage ya Mbeya?Wewe punguani ungetulia, ili wenye akili timamu wachangie hoja.
Maharage ya Mbeya, sera mpya za chadema!Punguani mwingine huyu hapa.
We fala, Sugu kakalia kiti miaka 10, anachokumbukwa ni kutoa tusi la kidole cha kati.Wanasiasa machokoraa wasiojua uchumi, wanaowafukarisha wananchi, hawatakiwi kabisa.
Tunataka viongozi kama akili Bakhresa, Mo, Sugu, Mbowe na the like ili wawaongoze watu kuelekea kwenye mafanikio ya maendeleo. Siyo watu kama akina Makonda au Mwigulu wanaowaongoza watu kuwa wauaji na wevi wa pesa za wananchi.
Waturuki sio wazungu umekosea hapo kusema eti waturuki ni Wazungu.Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki
View attachment 2938598
Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya kusaidia Wakulima wa Tanzania tayari yamekamilika , tayari Wazungu hao wamekubali kununua makontena zaidi ya 250 ya Maharage hayo kwa kuanzia
View attachment 2938599
Tunatoa wito kwa wakulima wote wenye maharage hayo kujitokeza , maana bei yake kwa sasa iko juu mno .
Sugu Mkombozi wa wakulima
CCM waliopo madarakani hawakuwahi kujiajiri kwa namna yoyote wanasubiri pensheni ya wastaafu ya waajiriwa wa serikalini na katika chama pale Lumumba na makao makuu ya CCM.