Sugu ang'aka Uwanja wa Ndege wa Songwe kuitwa Jakaya Kikwete

Huyu Sigala ni mtu wa kujipendekeza pendekeza maisha yake yote hata huo uDC aliupata kwa kuruhusu mwenza wake atumiwe na wale waliompa cheo!! Kikwete Airport inajengwa Bagamoyo , sasa nyie watu wa Mbeya mnataka kukiita kiwanja chenu kwa jina hilo kwa busara gani kama sio kujipendekeza ;ilhali mnajua kuwa baba mwanaAsha hawapendi watu wa kutoka mkoa huo?

maneno makali sana apo penye red,hakuna tasfida yake mkuu
 
Sugu si mbunge? Apeleke bungeni hoja ya kuvipa majina vitu vya umma kuwe na muongozo. Sasa hivi ni chaos tupu.

Wacha waite hivo hivo tu ,mbona MWAI KIBAKI kapewa jijini dar sembuse presidaaa wetu! labda kama yeye presidaa mwenyewe atakataa. Ila kama tayari bagamoyo kapewa jina lake, itakuwa haina maana sana kukiwa na majina sehemu mbili tofauti
 
Unajua at once nilisikia watu wakiliongelea hili nikazani wanatania kumbe limefikia level hii
Mnataka kuutia NUKSI uwanja wetu wa MIA(Mbeya International Airport-SONGWE)
Ndo maana twataka kwa katiba mpya vyeo vya UDC na URC vifutwe maana ni mfano wa vibaraka.
Am sure ilo jina JK mwenyewe akipelekewa atakataa na itakuwa aibu kwa mpeleka jina.
Maana am sure MIA ikipewa jina la JK lazima aje kuzindua na ndipo patakapowaka moto labda uzinduzi wafanyie DSM
 
Kwa namna maDC wanavyoteuliwa sishangai kabisa. Alichofanya kaimu RC (DC) ni kutumikia kafiri ili apate mradi wake.
 
Wacha waite hivo hivo tu ,mbona MWAI KIBAKI kapewa jijini dar sembuse presidaaa wetu! labda kama yeye presidaa mwenyewe atakataa. Ila kama tayari bagamoyo kapewa jina lake, itakuwa haina maana sana kukiwa na majina sehemu mbili tofauti

Kuna hatari mtu akaja Tanzania akashuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Jakaya Kikwete International Airport, akapitia Jakaya Kikwete Road, kwenda kulala Jakaya Kikwete Hoteli ya Jakaya Kikwete Conference Centre, halafu aende kukodi gari Jakaya Kikwete Tours and Safari, kwenda Jakaya Kikwete Park, na njiani akavuka Jakaya Kikwete Bridge kabla ya kuzuru Jakaya Kikwete University kwenye mdahalo katika Jakaya Kikwete School of Governance ambapo kutakuwa na mjadala kuhusu the role of the new Jakaya Kikwete port katika implementation of the Jakaya Kikwete doctrine .

Huku Joan Wickens hana hata kijumba kibovu cha kuenzi jina lake.

Na Kinjekitile hata kimtaa cha uzushi kama cha Joshua Nkomo hajapewa.

New Orleans Louisiana wameuita mji wao Louis Armstrong, mwanamuziki wa jazz maarufu kutoka huko.

Mpaka Remmy kaimba

"Mbaraka Mwinshehe alifahamika sana katika ulimwengu wa muziki, hata Ujerumani wanapiga rekodi za Mbaraka Mwinshehe, hata Zaire Franco anajua Mbaraka Mwinshehe"

Nimeingia Spotify nikakuta nyimbo za Mbaraka Mwinshehe. Nyingi zinahimiza maadili, nyingine zilianza kunifundisha falsafa kama za ulimwengu wa mashariki tangu mdogo sana ( "Shida" is like straight out of the Dhammapada!), jamaa kasaidia ku mobilize watu kadiri yake enzi hizo. Leo hana hata kichuguu kilichoitwa jina lake. Kila kitu shurti wanasiasa.
 
Anataka jina lenye uhusiano na mbeya ili ku-reflect rasilimali zinazopatikana mbeya kwa asili yake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

There is a thin line between regional pride and regionalism.

Mbeya kuna Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, sijasikia mtu akililalamikia hili jina.

Kuna kingine zaidi, tuwe wawazi tu.
 
kuna mtu asiyejua sugu anawivu sana.kwataarifa kupitia kikwete ndo mbya itatangazwa.mnamsikiliza chak bobu wa hiphop.
huyu sungusungu hana point ya kuchangia ndio maana kila siku anaongea uharo.hasa akivaa hayo magwanda yake ya ulinzi
 
There is a thin line between regional pride and regionalism.

Mbeya kuna Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, sijasikia mtu akililalamikia hili jina.

Kuna kingine zaidi, tuwe wawazi tu.

Hii imepitwa na wakati, kwa nini jina la kiongozi. Na ndo maana viongozi wanajiona wao ni zaidi ya wananchi/taasisi.......kwa hiyo Zanzibar inavojitangaza nje kwa zao la karafuu ni regionalism.
 
Pata japo ABC
Kuna hatari mtu akaja Tanzania akashuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Jakaya Kikwete International Airport, akapitia Jakaya Kikwete Road, kwenda kulala Jakaya Kikwete Hoteli ya Jakaya Kikwete Conference Centre, halafu aende kukodi gari Jakaya Kikwete Tours and Safari, kwenda Jakaya Kikwete Park, na njiani akavuka Jakaya Kikwete Bridge kabla ya kuzuru Jakaya Kikwete University kwenye mdahalo katika Jakaya Kikwete School of Governance ambapo kutakuwa na mjadala kuhusu the role of the new Jakaya Kikwete port katika implementation of the Jakaya Kikwete doctrine .

Huku Joan Wickens hana hata kijumba kibovu cha kuenzi jina lake.

Na Kinjekitile hata kimtaa cha uzushi kama cha Joshua Nkomo hajapewa.

New Orleans Louisiana wameuita mji wao Louis Armstrong, mwanamuziki wa jazz maarufu kutoka huko.

Mpaka Remmy kaimba

"Mbaraka Mwinshehe alifahamika sana katika ulimwengu wa muziki, hata Ujerumani wanapiga rekodi za Mbaraka Mwinshehe, hata Zaire Franco anajua Mbaraka Mwinshehe"

Nimeingia Spotify nikakuta nyimbo za Mbaraka Mwinshehe. Nyingi zinahimiza maadili, nyingine zilianza kunifundisha falsafa kama za ulimwengu wa mashariki tangu mdogo sana (Shida), jamaa kasaidia ku mobilize watu kadiri yake enzi hizo. Leo hana hata kichuguu kilichoitwa jina lake. Kila kitu shurti wanasiasa.
 
Kuna hatari mtu akaja Tanzania akashuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Jakaya Kikwete International Airport, akapitia Jakaya Kikwete Road, kwenda kulala Jakaya Kikwete Hoteli ya Jakaya Kikwete Conference Centre, halafu aende kukodi gari Jakaya Kikwete Tours and Safari, kwenda Jakaya Kikwete Park, na njiani akavuka Jakaya Kikwete Bridge kabla ya kuzuru Jakaya Kikwete University kwenye mdahalo katika Jakaya Kikwete School of Governance ambapo kutakuwa na mjadala kuhusu the role of the new Jakaya Kikwete port katika implementation of the Jakaya Kikwete doctrine .

Huku Joan Wickens hana hata kijumba kibovu cha kuenzi jina lake.

Na Kinjekitile hata kimtaa cha uzushi kama cha Joshua Nkomo hajapewa.

New Orleans Louisiana wameuita mji wao Louis Armstrong, mwanamuziki wa jazz maarufu kutoka huko.

Mpaka Remmy kaimba

"Mbaraka Mwinshehe alifahamika sana katika ulimwengu wa muziki, hata Ujerumani wanapiga rekodi za Mbaraka Mwinshehe, hata Zaire Franco anajua Mbaraka Mwinshehe"

Nimeingia Spotify nikakuta nyimbo za Mbaraka Mwinshehe. Nyingi zinahimiza maadili, nyingine zilianza kunifundisha falsafa kama za ulimwengu wa mashariki tangu mdogo sana ( "Shida" is like straight out of the Dhammapada!), jamaa kasaidia ku mobilize watu kadiri yake enzi hizo. Leo hana hata kichuguu kilichoitwa jina lake. Kila kitu shurti wanasiasa.

There is a thin line between regional pride and regionalism.

Mbeya kuna Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, sijasikia mtu akililalamikia hili jina.

Kuna kingine zaidi, tuwe wawazi tu.

Hayo ni mawazo ya mtu mmoja?
 
Hii imepitwa na wakati, kwa nini jina la kiongozi. Na ndo maana viongozi wanajiona wao ni zaidi ya wananchi/taasisi.......kwa hiyo Zanzibar inavojitangaza nje kwa zao la karafuu ni regionalism.

Nimelizungumzia kwa kirefu hili hapo nilipogusia New Orleans kuna Uwanja wa ndege wa Louis Armstrong, mwanamuziki wa Jazz, wakati bongo hatuna chochote chenye jina la Mbaraka Mwinshehe au Patrick Balisidya, wanamuziki waliokuwa tunu zetu na kutuletea shani.

Kuna "nineties babies" wadogo zetu hata hawajui hawa.

Wakati huo huo sitaki kuwanyima viongozi wa kisiasa nafasi yao, kwa sababu na wao wanazo stahili, ila wasitake kuzihodhi ikawa kila kitu ni majina ya wanasiasa.

Mimi naona hapa hizi habari nyingine nyiingi ni obsfucation. Watu wa Mbeya washawahi kuupiga mawe msafara wa Kikwete

Msafara Wa Rais Kikwete Watupiwa Mawe Mkoani Mbeya | MTAA KWA MTAA

Watu hawampendi Kikwete kwa sababu ni mzugaji. Angekuwa mwanasiasa funga kazi anayependwa na watu wala kusingekuwa na zogo.
 
DIA kuiita nyerere Airport ni kuwapaka kinyesi wana Dar!
nyerere ni mtu wa Kanisa akapewe majina huko Makanisani kwao!

nyerere alikuwa kiongozi wa taifa zima kama mwinyi, mkapa na sasa kikwete. nyerere hakuwa kiongozi wa kanisa. lakini kama ilivyo kawaida, watu hutofautiana kwa mengi kama busara, urefu, uwezo wa kuongoza na nk. kama kuna wanaombeza mkulu sio kwasababu ya dini yake lahasha! wanaangalia uwezo wake. kama wanakosea ni suala lingine. wew unamkabili jkn kidini
 
kuna watu washahangaikia sana kuona unajengwa. vipi wenyewe hamna kufikiriwa au mpaka wawe marais? na wengine utakuta wala hawakujali kama utajengwa au la. idea ya sugu ni sawa.
 
Aisee kuna tatizo kubwa tanzania!
Hivi kwani ni lazima uwanja upewe jina la rais? Mbona huku kujipendekeza kuna pitiliza?
 
Back
Top Bottom