show za arusha nna bahati nazo mbaya!wanangu arsenal baada ya kuchezea kichapo nikaseme nikakeshe tripple A leo nirudi kwetu!!!dah ilinichukua dakika kumi tu mule ndani siyo dharau ila masela watupu japo mimi siyo tozi lakini nilijiona tozi!advertise ilianzia getini!kiingilio buku 5 nikakutana na msela anataka nimuongezee buku 4 kwa maana hiyo yeye ana buku tu!humo ndani sasa!watu wachache halafu hamna hata warembo!masela watupu