Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
unajua hizo mbovu ni mkopo wa shng ngapi?
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
nimecheka sanaitakua labda kamlipua kwenye verse za huipu hopu, lakini hana credentials za kuhoji utendaji wa magufuli. waliomchagua walikosa mbadala wake ila 2015 hawatakosea tena kumrudisha bungeni