Sugu amshangaa kikwete!

Acheni upuuzi!...atamkamata kwa kosa gani?....Mnaingia mkataba na kampuni halafu hamuwalipi?...hivi nchi yetu imelaaniawa?
 
Ukitaka kujua hasira za majimshindo gusa dowans!mkuu una hisa hapo,au umekuwa kama mbwa, unabwata nje,mzee kalala ndani, malipo yake makombo.

POLE rafiki
 
Kuna wana jf naona wanakuwa wasahaulifu haraka! Huyu jamaa alisign mkataba na Richmond bila kuwashirikisha Tanesco kama mkataba ulivyokuwa unataka.

Halafu shinikizo wakapewa tanesco wasign nao bila kuhoji. Na huyu mmiliki alishawahi kuikana hiyo kampuni halafu leo anakuja kifua mbele akidai ni yake!

Haya yote alitakiwa kuhojiwa na kwakuwa amejileta, wakati ndio ulikuwa mwafaka. Kumwacha aondoke hvhv haikuwa sawa. Nashukuru Mr II kuliona hilo na kuwafahamisha wananchi wa kawaida ambao hawapati access na media.
 
Ukitaka kujua hasira za majimshindo gusa dowans!mkuu una hisa hapo,au umekuwa kama mbwa,unabwata nje,mzee kalala ndani,malipo yake makombo.POLE rafiki

mbavu hazifungwi Piopio.
 


Mwenye akili hahitaji uchunguzi hapa. Kama CCM kuna kina Komba!
 
Hii ni assumption yako au vipi? Kama ya viongozi wako at least wao wana wanasharia basi wangechukua hatuwa> Kama ni assumption yako basi baki nayo haina msaada kwetu>
 
@Ngekewa! Hakuna assumption hapo. Hizo zote ni facts and can be proved! Sijui ni lipi wewe unaona ni assumption? Au haujui kinachoendelea kuhusu mkataba mzima wa Dowans!
 
Amkamate kwa kosa lipi? huyu nae hana sera. Na hivi anaongea utumboo namna hii na watu wanamshangilia?

Kusaidia polisi/uchunguzi kutokana na mktaba feki uliotuingiza hasara hadi leo hii. Pili alikuwa hajulikani hata na mkuu wa nchi, amekuja mwenyewe sasa mbona tunajigwayaa.... Nguvu zetu za dola zipo wapi?????
 

Time will tell. Lakini akiingia katika kuwania ubunge bila shaka haikuwa jambo la bahati mbaya. Ni lazima alikuwa na vision mbadala ya kuiendeleza Mbeya. A concentrate na maendeleo ya jimbo ambalo "ccm wamelidumaza". Kwa vile chalinze iko vile basi tupoteze muda katika masuala ya dowans.

Mbeya ina resources zaidi ya thamani ya hayo madowans. We need somebody atakaye onyesha njia maendeleo yatokee bila hata jk. jk hawezi kuwa na nguvu ya kuzuia maendeleo mbeya. brief case yake sugu ingejaa mwelekeo wa maendeleo. we dont need politics na misamiati ya matusi.
 
Kusaidia polisi/uchunguzi kutokana na mktaba feki uliotuingiza hasara hadi leo hii. Pili alikuwa hajulikani hata na mkuu wa nchi, amekuja mwenyewe sasa mbona tunajigwayaa.... Nguvu zetu za dola zipo wapi?????
Mahakama gani imesema mkataba ulikuwa feki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…