Sugu aiteka Kenya

Vibweka wa Lumumba watasema ni Foto Shop
 
Nashangaa mpaka sasa hakuna utaratibu umetolewa
 
Daah eti ameiteka, kwa hilo bango moja tu?
 
Picha ya Sugu kuonekana kwenye magari huko Kenya kuna watu pale Tanzania wamenuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…