Sugu aisifia Fiesta!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu aisifia Fiesta!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mkonowapaka, Jul 8, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  YouTube - ‪Sugu akiisifia Fiesta‬‏

  ukiifuatilia hiyo link apo juu utamuona huyu m'bunge wa mbeya mjini akiisifia fiesta itakayofanyika jimboni kwake kesho kama sikosei

  hivi ni mimi sikuelewa au zilikua 'chai' zake kipindi kile anapiga mkwara icfanyike kule...alikua anatafuta umaarufu au ilikua mkwara mbuzi...ameniboa kwa kutokua na msimamo..ndo maaana................
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbona sioni alichosifia? kusema 'fiesta imetukutanisha'? Sugu hashiriki fiesta, ameandaa tamasha tofauti mbeya linaitwa 'Burudani Nyumbani'
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  full michangamano...
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kazi ipo.....
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ukweli utajulikana kesho
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  Ndo tatizo la kutokua na msimamo hata wa maamuzi yako mwenyewe, leo hapana kesho ndiyo, tulia kijana au watakutosa wenzio.
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kweli yamemkuta.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  So what???????
   
 9. m

  msukwaa Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  clip ni ya siku nyingi kipindi sugu akiwa nje dats why umeskia akisifia technology ilivyoweza kuwakutanisha.
   
 10. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  ni kweli ni kipandecha zamani sana
   
 11. serio

  serio JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,929
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  kitu ni 4yrs old..danganya toto hiyo
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nilidhani unaakili , Kumbe mawe ni walewale Vilaza dot com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. m

  malimamalima Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu hata kama hiyo clip ni ya zamani lakini ukweli unabaki pale pale kwamba at one point in time aliiunga fiesta mkono na aliishabikia. Swali la kujiuliza ni kwa nini aliisaport fiesta then and why not now? au ni kwa vile ana ugomvi binafsi na ruge ndio maana amegeuza kibao? Mhe Mbilinyi siyo mkweli hata kidogo kwani hivi sasa ameanzisha hii movement kwa maslahi yake binafsi na kuwahadaa wananchi kwamba ana uchungu na wasanii wenzake. Hivi hao wasanii aliyowapeleka mbeya yeye amewalipa shillingi ngapi? sawa tunaweza kuwalaumu sana clouds kwamba wanawanyonya wasanii lakini ukweli lazima tuseme kwamba sugu hakuwa na nia ya kuwasaida wasanii kutoka moyoni mwake.

  Ukweli ulio wazi ni kuwa anataka kugrab hii opportunity ya kuwasaidia wasanii ili apate public sympathy lakini akae akijua kwamba anaweza kuwahadaa wananchi kwa kipindi cha muda mfupi na baada ya muda ukweli utakuwa wazi. Clouds pamoja na mabaya yote sugu aliyoeleza juu yao lakini bado wanafanya kazi nzuri ya kuwapa changamoto wasanii watunge nyimbo nzuri ili zipigwe kwenye radio yao! na kusema ukweli wasanii wengi tu wamekuwa wanajitahidi kufanya hivyo ili watoe nyimbo nzuri. Lakini utakuta wakongwe wa muziki kama sugu, afande sele, danni msimamo, g solo, mkoloni wamekuwa wakiijifanya wanajua sana mziki na matokeo yake ngoma zao zimekuwa hazikubaliki na ndiyo maana zimekuwa hazipigwi clouds. Sasa hii ni hasira wanayotaka kuleta ili kuikomoa clouds lakini sidhani kama itasaidia lolote.

  Nimeona interview yake akisema wahariri wa habari wamekuwa wakihongwa na clouds ili kuzima issue ya malaria na hii ni very serious allegation. Iwapo vyombo vya habari wakiona hii interview yake inaweza kumharibia na wakamgeuka mara moja. Pamoja na kwamba anadhani kwamba wanambeya wamemchagua kwa kura za kishindo lakini ni media ndiyo inaweza kumjenga au kumbomoa na akaishia pabaya sana. Hatakiwi hata kidogo kugombana na vyombo vya habari na hii ni soma si kwa nchini kwetu lakini dunia nzima. Tumeshuhudia viongozi wengi wakiangushwa na vyombo vya habari.

  Status yake ya kwanza kwenye facebook alisema kwamba fiesta ni upuuzi na hawezi kukubali ifanyike mbeya kama sikosei aliapa kwamba haitafanyika mbeya. Hivi yeye ni nani mpaka aape kwamba fiesta haiwezi kufanyika mbeya? Leo hii ni mbunge tu na analeta vitisho kwani yote hiyo ni kujiamini kupita kiasi kwamba wapiga kura wake watampa support. Hapo ni kosa kubwa la kwanza alilofanya huyu mheshimiwa sana. Pamoja na kula kiapo tumeshuhudia fiesta ikifanyika mbeya bila ya tatizo lolote. Alitumia nafasi yake ya ubunge kufanya mkutano wa hadhara ili ahamasishe wakazi ya mbeya kuikataa fiesta na kibaya zaidi inasemekana hakuwa na kibali cha kufanya mkutano. Swali ninalojiuliza hivi je alifanya mkutano bila kibali kwa makusudi ili akamatwe na polisi na kuwekwa ndani ili apate public sympathy ya wakazi wa mbeya ili wafanye fujo? kosa kubwa ninaloliona kwa jeshi la polisi ni kumuweka ndani huyu mheshimiwa kwani bila ya hivyo issue hii isingepata headlines zozote alizokuwa anatarajia. Uzuri ni kwamba ametumia opportunity ya jeshi letu na pengine hata hakuwa na kibali tena kwa makusudi kabisa ili atimize malengo yake...all in all aliwekwa ndani na kisha akatolewa.

  Taarifa yake kwa umma nimeisoma lakini sijaridhishwa nayo hata kidogo kwani imejaa ubabaishaji wa kutumia mgongo wa wasanii kitu ambacho si kweli hata kidogo. Ukweli ni kwamba sugu ni mtu mmoja hatari sana na tusipokuwa makini kuelewa dhamira yake tunaweza kujiingiza kwenye mtego ambao mwisho wa siku itakuwa mbaya sana. Mtu kama huyu inabidi kumuogopa sana na kuwa naye makini sana katika kile anachodai ni harakati zake za kukomboa wasanii.

  kwa leo naomba niishie hapa lakini nasisitiza tena na tena tuwe makini sana na huyu mheshimiwa.
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Vipi clouds wao siyo watu hatari? Unapohoji Sugu kuisifia fiesta huko nyuma na kupinga anachokifanya sasa, kwa kuwa tu aliwasifia, unathibitisha kwamba clouds wameanza unyonyaji kitambo. Nazijua harakati za Sugu na hajaanza leo
   
Loading...