Video ya MR @ akiwa Marekani akisifu Fiesta yaibuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video ya MR @ akiwa Marekani akisifu Fiesta yaibuliwa

Discussion in 'Entertainment' started by ngalikikinakiki, Jul 8, 2011.

 1. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  YouTube - ‪Sugu akiisifia Fiesta‬‏
  Video ya Sugu aliyoitengeneza Marikani miaka mitatu iliyopita ikiwa kama promotion ya Fiesta wakati huo imeibuliwa na kufanyiwa editing ili ionekane kama ni ya leo akisifu Fiesta. Nia ya walioiibuwa inawezekana kuwa ni kumweka katika mahala pabaya hasa kutokana na kupinga Fiesta ilivyo sasa
   
Loading...