C.E.O wazamani wa death row records
Gangstar wa Compton member of blood .
Waste side the best .atupwa sero miaka 28View attachment 873590
Kabisa mkuu...huyu jamaa na jela ni kama tako na chupi ...hakaaagi uraiani hataajamaa na kukaa jela ni sawa na Mchagga na bar
hahaha kweli kabisa yuko directly proportional na jela kama ulivyosema tako na chupi....Kabisa mkuu...huyu jamaa na jela ni kama tako na chupi ...hakaaagi uraiani hataa
Kuna yeye na TI hawa jamaa kwa jela nomazz
Hayo maneno hayatajagwi weekend maana yanapandisha mizuka .kama tako na chupi
hahaha kweli kabisa yuko directly proportional na jela kama ulivyosema tako na chupi....
Jomoni King...poleeHayo maneno hayatajagwi weekend maana yanapandisha mizuka .
Amefanya noma gani?C.E.O wazamani wa death row records
Gangstar wa Compton member of blood .
Waste side the best .atupwa sero miaka 28View attachment 873590
Thanks .Jomoni King...polee
Alimuua 2pacMzimu wa 2Pac na Big utaendelea kumtafuna
DadaadeeekiJamaa yangu suge. Kaka mkubwa, tembo, king kong, jail masterpiece.
Anakwambia a lot of people are born male, but am a man. Never play with my money....
Bifu lako na sughe lazma liwe linahusu hela.
Jamaa kagonga watu wawili makusudi na mndinga wake huko states, plea was no contest, ndo hivyo kesi ilisomwa sept 24. Ndo kakabidhiwa iyo miaka 28. Jail Legend. Jail masterpiece it self. Call him Suge
Hahaha huyo ndo suge. Mfanyabiasha wa muziki.Dadaadeeeki
Msela ana systems alizo establish hadi jela. Suge ni maarufu kwa utukutu toka kipindi ni baunsa wa bobby wine. Inshort suge mtu wa vurugu. Na vurugu ndo maisha yake...... hapati tabu sana sana anazidi kuongeza CV ya ugang.... jela wanamjua.alivyowagonga wale jamaa ndipo nilipotambua huyu msela inafaa apumzishwe jela
he gotta watch his butthole,them CRIPS crooks wait for his ass in the joint
nadhani ulimanisha bobby brownMsela ana systems alizo establish hadi jela. Suge ni maarufu kwa utukutu toka kipindi ni baunsa wa bobby wine. Inshort suge mtu wa vurugu. Na vurugu ndo maisha yake...... hapati tabu sana sana anazidi kuongeza CV ya ugang.... jela wanamjua.
"Violence is the way to survive in Ghetto" - Hugh Marion Knight (suge)
AnahusishwaAlimuua 2pac