Sugar Ray Night Club yafungwa rasmi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,463
25,381
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku
 
Bado Corner Bar na kangaroo watu ndio wanakesha pale na short time wanasahau hata kurudi majumbani kwao
 
Nimekuwa nikifuatilia ongezeko la kilimo cha bangi karibu mikoa yote hata Kagera ambao hapo kabla haukuwahi kuhusika katika biashara ya bangi, na sasa mara linaibuka hili la kufunga mabaa ambapo wasiwasi wangu ni jinsi gani umepangwa utaratibu wa kuwabadilishia kazi dada poa ili waendelee kuwa na kipato kuweza kukabiliana na ugumu wa maisha! Kinachoonekana ni wazi pato la sasa la taifa huenda linajumuisha zaidi ya aslilimia 50 ya pesa haramu.
Ukifungua jicho la tatu ndio unaona kuwa waliotengeneza hizi 'opportunities' walitoa msaada mkubwa kwa taifa na JPM akiwa na watendaji wa matamko 'anaharibu' au ndio tulikuwa tunaelekea into a complete failed state!?
 
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku
Vijana wakike au wakiume?
 
Ukahaba upo duniani kote hata Marekani, je unaweza kuzuia ukahaba kwa kufunga kumbi za starehe au kuboresha maisha ya wananchi na kuwa na fursa nyingi za kazi, na je kufunga kumbi za starehe ni long term solution au, je hakuna mkakati endelevu wa kukabiliana na ukahaba, iundwe tume ya kudhibiti ukahaba kama ilivyo madawa ya kulenya, na hapo patakuwa na chombo maalaumu cha kuweza kuangalia namna ya kudhibiti hali hii pasipo kuwadhuru wengine kama wenye ukumbi na watumiaji
 
!
!
Sidhani kama hiyo Bar ina madhara makubwa kama yatokanayo na hawa jamaa wa Ndiooooooooooo

Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku
 
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku

Watu wameshapatia UKIMWI, Gono, Kaswende, Saratani za Ulimi na Fangas na Puani kwa kunusa Banda la Uani na Mimba hapo miaka nenda rudi wao ndiyo leo wanajifanya kupakushtukia? Wameshachelewa!
 
Hao madada wanaojiuza watafutiwe kazi za kufanya.. Badala ya kufanya biashara ya kuuza miili yao..
Kuliko kufunga kumbi za starehe
Unadhani mmiliki atakula wapi
Na Je? Wafanya kazi wanaohudumia hizo kumbi za starehe wataishije.. Ile hali ajira wanayoitegemea imekufa
(Mtazamo wangu tu)
 
Tunatatua tatizo dogo kwa kutengenez tatizo kubwa.
Kama taifa tunatumia nguvu kubwa kudeal na matatizo yatikanayo na personal choices na kuacha yale ya general population.
Yule aliyesema akirudi Dar kabla ya kuhamia pale kati atawataja mashoga bado hajarudi??
 
Back
Top Bottom