Sugar mummy anavyonipelekesha.

Status
Not open for further replies.
naona humu wehu wenzio kutwa mnaomba mashuga mami,sasa wewe unalilia nini tena?ukome
 
Hujasema huyo mama ana umri gani. Unasema ana watoto wakubwa wenye umri gani na wangapi? Yawezekana umri wenu uko sawa ila yeye kawahi kuzaa tu. Usilete ubaguzi wa umri, rangi, kabila kwenye mapenzi. Ubaguzi ni sumu katika maisha angalia kilicho muhimu kwenu ninyi nyote. Kwani wewe ulipoanza naye hukuona kama ana umri mkubwa au ana watoto? Au watoto na umri vimeongezeka usiku?
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!
 
Na ukome..........kuna mwenzako hapahapa jamvini kiliponuka tu, alirushiwa laki 8 kwenye simu akaambiwa na afya si kitu tena!!

daah! kuna rafiki yangu wa karibu mno toka utotoni yamemkuta haya haya mkuu
 
Timiza wajibu wako....wewe ni mariooo kazi yako ni ushughulike sawasawa. Ukiona anakupelekesha sana jitoe ulingoni uyakose yalokuvuta kwake.
 
Hamkomi tu. Walevu wa kuwaza nyny ujana kala wapi aje akuue wewe mnapenda sana kitonga watoto wa digital. Tumua akili saka mkwanja uanze your family.
 
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!
Haya profesa wa ngono ma mijimama, wee endelea tu kuenjoy kitandani
 
Kwani kabla ya kuanza kuwa naye kitandani uliwahi kujiuliza mumewe alifariki kwa ugonjwa gani?
 
inaonekana wewe ni mvivu sana hutaki kula kwa jasho unapenda kulelewa hayo ndio matokeo ya kupenda vya bure bure....fanya uamuzi mgumu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom