PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Sudan's President Omar al-Bashir has said all political prisoners in the country are to be released.
BBC News - Sudan's Bashir orders political prisoner release
Rais wa Sudan Omar al Bashir, ameagiza kuachiliwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa
Katika hotuba yake ya ufunguzi wa vikao vipya vya bunge, Rais Bashir alitoa wito wa kufanyika mashauriano na vyama vingine vya kisiasa.
Wiki jana makamu wa rais Ali Osman Taha aliwaalika waasi kutoka majimbo ya Kordofan Kusini na Blue Nile,kushauriana kuhusu katiba mpya.
Hata hivyo walikataa mwaliko huo.
Waandishi wa habari wanasema kuwa hali ya wasiwasi imeanza kupungua kati ya Sudan na Sudan Kusini tangu nchi hizo mbili zikubaliane kurejelea shughuli ya kuchimba na kusafirisha mafuta