Sudan: Waziri wa Sheria asema Sheria zote zinazokiuka Haki za Binadamu zitafutwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Sheria wa Sudan, Nasredeen Abdulbari amesema nchi hiyo itazifuta Sheria zote ambazo zinakiuka Haki za Binadamu

Sudan imetangaza mabadiliko mbalimbali ikiwemo kufuta Sheria ya Uasi na adhabu ya kucharazwa viboko. Pia, wananchi wasio Waislamu wameruhusiwa kunywa, kuagiza na kuuza vilevi

Nchi hiyo pia imepiga marufuku ukeketaji Wanawake (FGM). Vilevile, Wanawake hawatohitaji ruhusa kutoka kwa ndugu wa kiume ili kusafiri na watoto wao

Mabadiliko hayo yanakuja zaidi ya mwaka mmoja baada ya Rais Omar al-Bashir (76) aliyeongoza Sudan kuanzia mwaka 1989 kuondolewa madarakani

===

After more than 30 years of Islamist rule, Sudan has outlined wide-reaching reforms including allowing non-Muslims to drink alcohol, and scrapping the apostasy law and public flogging.

"We [will] drop all the laws violating the human rights in Sudan," Justice Minister Nasredeen Abdulbari said.

A raft of new laws were passed last week but this is the first public explanation of their contents.

Sudan has also banned female genital mutilation (FGM).

Under the new laws, women no longer need permission from a male relative to travel with their children.

The reforms come after long-time ruler Omar al-Bashir was ousted last year following massive street protests.

The current government is an uneasy mixture of those groups which ousted Mr Bashir and his former allies in the military, who ultimately staged a coup against him.

What is the new law on alcohol?
Non-Muslims are now allowed to consume alcohol in private, however the ban on Muslim drinking remains, Mr Abdulbari told state TV.

Non-Muslims could still be punished if they are caught drinking with Muslims, the Sudan Tribune reports him as saying.

He explained that the government was trying to safeguard the rights of the country's non-Muslims, who make up an estimated 3% of the population.

They are now allowed to drink, import and sell alcohol.

"We are keen to demolish any kind of discrimination that was enacted by the old regime and to move toward equality of citizenship and a democratic transformation," he said.

The laws were initially approved in April but the BBC's Mohamed Osman in Khartoum says they have only now taken effect.

What about the other changes?
Until now, anyone convicted of renouncing Islam, or apostasy, could face the death penalty.

The best known case was of Meriam Yehya Ibrahim Ishag, a pregnant woman who was sentenced to be hanged after she married a Christian man in 2014.

She managed to flee the country but the apostasy law - targeting those deemed to have abandoned Islam - has remained on the statute books until now.

The declaration that someone was an apostate was "a threat to the security and safety of society," Mr Abdulbari said.
Under Mr Bashir, the morality police would often carry out public flogging for various misdemeanours but Mr Abdulbari said this punishment had now been abolished.

The latest changes come after a restrictive public order law that controlled how women acted and dressed in public was repealed in November.

The imposition of strict Islamist laws in the 1980s was a key factor in the long-running civil war which eventually led to independence for South Sudan, where the majority of people are Christian or follow traditional religions.
 
Serikali ya mpito ya Sudan kaskazini imefuta sheria iliyowekwa na rais wa zamani aliepinduliwa Omar Al Bashir iliyozuia watu wenye umri chini ya miaka 30 kunywa pombe.

Katika mabadiliko yanayoendelea kufanywa na serikali ya mpito kuelekea kwenye demokrasia sheria hiyo imefutwa rasmi na serikali na kuwapa watu uhuru wa kuuza na kununua vileo na kunywa watakavyo bila hofu ya kufungwa jela.

Pia serikali imepiga marufuku ukeketaji wa watoto wa kike na kulifanya tendo hilo nia ni uvunjifu wa sheria. Sudan na jamii nyingi za kiarabu ukeketaji ni jambo la kawaida na hufanywa bila kificho.

Bloomberg - Are you a robot?
 
Kwa hiyo sasa hivi "kuasi" dini sio kosa tena kama ilivyokuwa hapo kabla? ... mdogo mdogo wataelewa tu; sheria nyingine za ajabu sana zimewekwa na wanadamu na kulindwa na wanadamu kuumiza wanadamu bila sababu! Kwanini zitungwe sheria nyingi hivyo za kibinadamu kulinda kinachoaminika kuwa "neno la mungu"?

Mnakumbuka habari za Meriam Ibrahim wa huko huko Sudan? (Sudan death sentence woman 'freed'). Mnakumbuka habai za Amina Lawal wa Nigeria? (Save the life of Amina Lawal Kurami). Mnakumbuka habari za Safran Bibi? (T).

Mnakumbuka sheria nyingi kandamizi hususan kwa wanawake kule Saudi Arabia zimeanza kufanyiwa "maboresho" makubwa? Hii dunia sometimes tunapelekeshwa pelekeshwa tu na vikundi fulani fulani kwa maslahi yao.
 
faizafoxy hapo lazima apagawe
FaizaFoxy haamini macho yake kinachotokea huko kunakoitwa ulimwengu wa kiarabu na kiislamu; eti pale viunga vya Riyadh umkute kabisa mwanamke mzawa wa Saudia kavaa suruali! Astaghfirullah!
 
Dahl!
Hadi nimechoka
Kumbe dini nyingine pombe ni ruhsa?
I'm proud to be true MUSLIM
ila kilichonishangaza ni kuacha kuwashauri madhara ya pombe na badala yake wakawaruhusu kuagiza,kuuza na pia kunywa.

Pombe ndio chanjo cha maasi
Kuna hadithi moja inasema kulikua na mcha mungu mmoja alikua akifanya ibada sana hapo zamani kiasi watu wakamuonea wivu mpaka wakaambizana ni nani anaweza akamshawishi kutenda dhambi
Walimshawishi sana wakashindwa
Akatumwa msichana mrembo tena mwenye mali ili amshawishi nae akatumia mbinu ya kumwambia mcha mungu achague moja kati ya matatu
1-azini naye
2-aue
3-anywe pombe
Mcha mungu akaona lililorahisi na afadhali ni kunywa pombe
Kwa hiyo akanywa pombe na matokeo yake
akazini na akaua pia
Epuka pombe
Hakika pombe ni mama wa maasi
 
mi nawaunga mkono mambo mengine muacheni Mwenyezi Mungu atakuja kufanya kazi yake ...

لَآ إِكْرَاهَ فِى ٱلدِّينِ ۖ قَد تَّبَيَّنَ ٱلرُّشْدُ مِنَ ٱلْغَىِّ ۚ فَمَن يَكْفُرْ بِٱلطَّٰغُوتِ وَيُؤْمِنۢ بِٱللَّهِ فَقَدِ ٱسْتَمْسَكَ بِٱلْعُرْوَةِ ٱلْوُثْقَىٰ لَا ٱنفِصَامَ لَهَا ۗ وَٱللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ

Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Serikali ya mpito ya Sudan kaskazini imefuta sheria iliyowekwa na rais wa zamani aliepinduliwa Omar Al Bashir iliyozuia watu wenye umri chini ya miaka 30 kunywa pombe.

Katika mabadiliko yanayoendelea kufanywa na serikali ya mpito kuelekea kwenye demokrasia sheria hiyo imefutwa rasmi na serikali na kuwapa watu uhuru wa kuuza na kununua vileo na kunywa watakavyo bila hofu ya kufungwa jela.

Pia serikali imepiga marufuku ukeketaji wa watoto wa kike na kulifanya tendo hilo nia ni uvunjifu wa sheria. Sudan na jamii nyingi za kiarabu ukeketaji ni jambo la kawaida na hufanywa bila kificho.

Bloomberg - Are you a robot?
ila hayo yote faida na hasara itakuja kuonekana baadae ...
 
Dahl!
Hadi nimechoka
Kumbe dini nyingine pombe ni ruhsa?
I'm proud to be true MUSLIM
ila kilichonishangaza ni kuacha kuwashauri madhara ya pombe na badala yake wakawaruhusu kuagiza,kuuza na pia kunywa.

Pombe ndio chanjo cha maasi
Kuna hadithi moja inasema kulikua na mcha mungu mmoja alikua akifanya ibada sana hapo zamani kiasi watu wakamuonea wivu mpaka wakaambizana ni nani anaweza akamshawishi kutenda dhambi
Walimshawishi sana wakashindwa
Akatumwa msichana mrembo tena mwenye mali ili amshawishi nae akatumia mbinu ya kumwambia mcha mungu achague moja kati ya matatu
1-azini naye
2-aue
3-anywe pombe
Mcha mungu akaona lililorahisi na afadhali ni kunywa pombe
Kwa hiyo akanywa pombe na matokeo yake
akazini na akaua pia
Epuka pombe
Hakika pombe ni mama wa maasi
... umeumia sana; pole Mkuu. Hao walioamua kufutilia mbali hizo sheria kandamizi ni waislamu kuliko wewe na Makah wanaiona ile palee ng'ambo tu ya bahari ya Sham.
 
Waarabu wengi hao wanaodai ni waislamu wakienda Ulaya au Marekani hunywa pombe, kucheza kamari na kuzini na makahaba wa huko.

Ogopa sana watu wanaochungwa kama ng'ombe, wakipewa fursa kidogo huwa balaa.
 
Mwanadamu ni mtenda makosa haijalishi ni mwarabu,muhindi ,mzungu au mwafrika haijalishi ni wa dini gani kinachojalisha je dini hiyo imeruhusu hilo kosa?na nina hakika hakuna dini imeruhusu kunywa pombe
Sasa kwa nini wazuiwe waislamu tu?na wengine waruhusiwe?
 
Ni kwa sababu hao wanaozuia pia ni waislamu. It's as simple as that.
 
Dahl!
Hadi nimechoka
Kumbe dini nyingine pombe ni ruhsa?
I'm proud to be true MUSLIM
ila kilichonishangaza ni kuacha kuwashauri madhara ya pombe na badala yake wakawaruhusu kuagiza,kuuza na pia kunywa.

Pombe ndio chanjo cha maasi
Kuna hadithi moja inasema kulikua na mcha mungu mmoja alikua akifanya ibada sana hapo zamani kiasi watu wakamuonea wivu mpaka wakaambizana ni nani anaweza akamshawishi kutenda dhambi
Walimshawishi sana wakashindwa
Akatumwa msichana mrembo tena mwenye mali ili amshawishi nae akatumia mbinu ya kumwambia mcha mungu achague moja kati ya matatu
1-azini naye
2-aue
3-anywe pombe
Mcha mungu akaona lililorahisi na afadhali ni kunywa pombe
Kwa hiyo akanywa pombe na matokeo yake
akazini na akaua pia
Epuka pombe
Hakika pombe ni mama wa maasi
Mito ya pombe mliyoahidiwa peponi itakuwa ni tofauti na pombe hizi za sasa?
 
Back
Top Bottom