Toka lini Mwarabu akawa rafiki na Mwafrica mwenye ngozi nyeusi, tuwe wakweli hao jamaa urafiki wao ni wa kinafiki tu, pale penye maslahi ndio wanajifanya marafiki ili wakuvune. Imewachukua miaka mingi Sudan ya kusini wakinyanyaswa na kuwawa kwenye ardhi yao. Hao Waarabu wana umoja wao wa nchi za Kiarabu, wewe ngozi nyeusi hugusi huko wanakuona kama nyani tu. Tambua nafasi ya mwafrica kwa wakati huu, kwa fikra hizi tunaendeleza dhana ya weusi kuwa vijakazi wa white and brown colours. Tubali ukweli umoja wa ngozi nyeusi na mwarabu ndani ya Africa wala hauna maana na wala hatuendi kokote.