Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
Duuh. Haya tusubirie tu Mtani. 😀😀😀Mtani nasubiri Uzi wako humu kwa hamu,ukidondokewa au ukimdondokea MTU, hahahaha na kapicha kakiwemo ,na yale makopa kopa ,hahahaha
Duuh. Haya tusubirie tu Mtani. 😀😀😀Mtani nasubiri Uzi wako humu kwa hamu,ukidondokewa au ukimdondokea MTU, hahahaha na kapicha kakiwemo ,na yale makopa kopa ,hahahaha
HahahahaDuuh. Haya tusubirie tu Mtani.
Hahaha,nisamehe ,Mie mzima kabisa mtani wa afya ,natumai na wewe mzimaHahaaaa. We cheka tu Mtani.
Mzima lakini?
Hahaaa. Usijali banaaa.Hahaha,nisamehe ,Mie mzima kabisa mtani wa afya ,natumai na wewe mzima
Tuko pamoja ,nawe pia siku njema ,week end njemaHahaaa. Usijali banaaa.
Mie Alhamdulillah. Haya uwe na siku njema Mtani.
ngoja nikae hapa mbele mbele nisubiri wakarmani na wafasili waje!
nimekaona kaavatar ka emmytaHahaaaa. We cheka tu Mtani.
Mzima lakini?