ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hay mamods wenzengu
Sasa naona zile gia zote gari zimekwisha, niliingia kwa kusimama, nikaja kwa kutembea na kisha kunyata nyata na kutambaa kabisa sasa kuna gia ipi ingine ambayo nimeisahau yakuingia nayo humu chitchat bandugu? Leo tena nimekuja na jambo hili ambalo linanikera sana tena sana na LINANICHEFUA kabisa mpaka nahisi kutapika ovyo na naogopa kutapika nikiwa njiani acha niandae mfuko wa kutapikia.
Wanadamu wamejawa na uongo usiopimika katika midhani yaani kwao kuongopa ni fashion hawaogopi lolote, kitu kinachonichefua na kusema hapa hadharani ni wale watu ambao umewapigia SIMU nao wakakata haraka huku wakijua wamepigiwa simu, huwezi jua huyo aliyekupigia anataka kusema nini au ana jambo gani ambalo anataka kjukwambia wewe unakata halafu unamwambia kuwa SUBIRI USIJALI NITAKUPIGIA SASA HIVI utakaa akupigie utaganda weeeeeeee mpaka utaamua umpigie tena simu, kutokana ile shida yako unayotaka kumwambia, basi itaitaaaaaaaa weeeeeeee simu mpaka itakakata wala hasiweze kukupigia, wakati mwingine atakutumia meseji na kusema vilevile subiri usijai nitakupigia, hivi kwanini binadamu mnakuwa hivyo jamani, huwezi jua mwenzio anauhitaji gani nawe mpaka anamua kununua vocha na kuweka na kukupigia ujue amekumbwa na maswahibu gani.
Hebu kuweni na tabia njema kama umepigiwa simu wewe sikiliza yule aliyekupigia ana shida gani na ikiwezekana msaidie jambo lake la imeshindikana mwambie basi ili ajue sio kusema kuwa SUBIRI USIJALI NITAKUPIGIA HIVI PUNDE SIO UUNGWANA HUO WALA BUSARA HIVYO. Hii tabia iko kwa vijana hasa wana mtindo huu. Hebu jirekebisheni kuweni na utu jamani. MM NI MKEREKWA NA JAMBO HILI