Justus_August
Member
- May 2, 2023
- 22
- 104
Katika kuwinda fursa za ajira na nafasi mbalimbali za kazi, yapo mengi utayasikia zikiwemo ahadi za hapa na pale nyingine zikiwa za ukweli na nyingine zikiwa zile zenye kufunza kukupima uwezo wa kuhimili yasiyohimilika.
Katika baadhi ya mazingira utajikuta unalazimika kufanya ambacho hukusomea, hukutarajia na pengine hukuwahi kukipenda. Kama hiyo ndo fursa imekuja, nenda nayo uenda ikakusogeza karibu na ilipo fursa kubwa zaidi.
Mf. Una ndoto ya utakapomaliza masomo yako au utakapotoka kwenye hiyo ajira yako ya sasa uende kufanya kazi na taasisi za kimataifa, ulipwe mshahara mnono, upewe zile packages za safari na holidays n.k.
Wapo wanaoteleza chaap na kupata mchongo ila wapo wanaosugua bench hadi wakija kufikiwa wanakuwa wameshapoteza sifa/uwezo/hamu n.k.
Subiri ukiwa unajiandaa kwa kuhakikisha upo na sifa, ujuzi na uzoefu vitakavyo kurahisishia safari. Hapa nataja baadhi (ambavyo vimenibeba mimi, na wengine ambao ninafahamiana nao):-
1. Jifunze application za msingi za Microsoft Office
2. Jifunze kutumia vizuri platforms za online meetings kama vile Zoom, Google Meet, MS Teams
3. Kuwa na utayari wa ku volunteer hata kama ni kwa weekends
4. Engage kwenye sensible conversations za mitandaoni (as much as you kwenye other small ticket ideas)
5. Jifunze ku appreciate kwanza kabla ya kuzodoa na kukosoa
6. Jiboreshe kwenye matumizi ya lugha yenye staha (epuka lugha zenye kudhalilisha au kukebehi)
7. Kuwa na email address yenye majina yako official
8. Jenga ukaribu wenye tija na referees wako uliowaweka kwenye CV.
8. Kuwa na utayari wa kwenda popote patakapopatikana fursa
9. Hakikisha upo na Passport ya kusafiria na kitambulisho cha NIDA.
10. Kuwa na utamaduni wa kuwa na mawasiliano yanayoonesha umakini, kujitambua na kuheshimu (pokea namba mpya bila kuuliza nani amekupa namba yangu, jibu ujumbe wa maandishi kwa kuandika maneno yanayosomeka, usitukane au kufoka unapopokea simu, jitambulishe unapopiga simu sehemu ambayo unahisi namba yako ni ngeni kuliko kuanza kuuliza ushafahamu unaongea na nani...)
Ni hayo kwa leo. Ongeza na mengine...
Ninakutakia mafanikio katika mapambano yako.