Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
Anzia hapa mtoa mada.Kuna uwezekano mkubwa ikawa ni issue ya Imbalance wheel au issue ya matairi,anza kwa kufanya wheel balance,pia angalia matairi kama yamechakaa,
kutetemeka kwa gari kwenye hiyo speed kwa asilimia kubwa ni issue ya matairi,pia angalia issue ya suspension.
Jalibu kuangalia Wheel balancing ,wheel Alinegment na rims wenda imepindawakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote,naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya,nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari ,AHSANTENI
ahsante naamini inawezekana pia hii ikawa sababu kwa kuwa nilibadilisha tairi moja la nyuma niliweka jipya liilokuja na gari lililpasuka kwa hiyo inawezekana tairi jipya limeleta imbalance,na matairi yaliyokuja na gari hayajachoka yapo OKKuna uwezekano mkubwa ikawa ni issue ya Imbalance wheel au issue ya matairi,anza kwa kufanya wheel balance,pia angalia matairi kama yamechakaa,
kutetemeka kwa gari kwenye hiyo speed kwa asilimia kubwa ni issue ya matairi,pia angalia issue ya suspension.
@ MadMax, Lambardi, Offshoremen, Prodoxwakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote,naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya,nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari ,AHSANTENI
Mounting na center rubberswakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote,naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya,nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari ,AHSANTENI
Hapo mchawi ni steering rackwakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote,naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya,nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari ,AHSANTENI
sure,ahsanteJalibu kuangalia Wheel balancing ,wheel Alinegment na rims wenda imepinda
Check yafuatayowakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote,naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya,nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari ,AHSANTENI
Mambo vp?? Asee pole sana,ili ni tatizo common kwenye sj series na mara nyingi ni drive shaft ikague vizuri kama sio apo unaweza endelea na kucheck alignments,tie rods n.k ila anza na drive shaftwakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote,naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya,nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari ,AHSANTENI