Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida sana sio muda mrefu namuangusha mjini hapa kwa mzee JPM
Bei yake ni dola 2800 hii ni CIF
Tax calculator ni kama 6.5 million
Jumla ukiwa na kama 13 million mnyama anakuwa yupo uwani kwako tayari kwa mizunguko ya mjini
Engine Cc 2500
AWD
Kinachonikela ni top speed ni ndogo sana 180.. jee kuna uwezekano wa kuongeza uwezo kweli?
View attachment 1125603View attachment 1125604View attachment 1125605