Subaru outbox mnyama hatari kuliko subaru zingine

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,609
2,027
Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida sana sio muda mrefu namuangusha mjini hapa kwa mzee JPM.

Bei yake ni dola 2800 hii ni CIF

Tax calculator ni kama 6.5 million

Jumla ukiwa na kama 13 million mnyama anakuwa yupo uwani kwako tayari kwa mizunguko ya mjini
Engine Cc 2500
AWD

Kinachonikela ni top speed ni ndogo sana 180.. jee kuna uwezekano wa kuongeza uwezo kweli?

IMG-20190612-WA0003.jpeg
IMG-20190612-WA0004.jpeg
IMG-20190612-WA0005.jpeg
 
Kwa nn mkuu

Unaponunua gari lazima ujiulize unahitaji gari gani, kwa ajili ya matumizi gani, na mara nyingi matumizi ndo yanaamua gari gani inahitajika. Jambo lingine ni kipato/uchumi.

Sioni mantiki kuwa na gari ya cc 2500 wakati matumizi yangu ni kutoka home, kwenda kazini, town na kanisani. kumbuka watz wengi magari haya ya kutembelea hayaleti hela bali yanatumia tuu sasa why nijitese.

kuna rafiki yangu majuzi kanunua kluger kwa misifa baada ya kuuza spacio. Sasa hivi muda mwingi amepaki tuu maana wese lake usipime. Gari inayozidi cc 2000 uchumi wako uwe stable sana la sivyo utajikuta uko kwenye poverty cycle ya kuhudumia gari
 
Ulaji wake wa mafuta kwa matoleo ya 2012 kuendelea ni chini ya RAV 4 usichanganywe n cc 2450
 
Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida sana sio muda mrefu namuangusha mjini hapa kwa mzee JPM
Bei yake ni dola 2800 hii ni CIF
Tax calculator ni kama 6.5 million
Jumla ukiwa na kama 13 million mnyama anakuwa yupo uwani kwako tayari kwa mizunguko ya mjini
Engine Cc 2500
AWD

Kinachonikela ni top speed ni ndogo sana 180.. jee kuna uwezekano wa kuongeza uwezo kweli?View attachment 1125603View attachment 1125604View attachment 1125605
Chukua ata ya 2010 mkuu hiyo hapo ishapitwa. Sema haya magari yana Cc za kutosha

Related image
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom