Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 857
- 2,289
Wajuvi wa mambo,
Nipeni udambu juu ya hizo gari 2, okoeni ndoa yangu maana shemeji yenu akizimikiwa gari njiani atadai talaka. akikwama topeni ndio kabisa. kwa ufupi wife hapendi vigari sampuri ya ist, impreza nk, anasema anataka gari ya juu juu.
Nimeangalia angalia mitandaoni kulingana na bajeti yangu nimeona hizo akipata mojawapo atanizalia mtoto mwingine.
Nawasilisha.

)..agh hata tusiongee forester takes it all. Perfomance sasa ndo sitaki kuweka neno maana inajulikana forester ni kinara.