Subaru Forester XT vs Kluger

Kwa hiyo anaetaka gari ni mtu A lakini anaechagua aina ya gari hiyo ni mtu C?

A na B wote hawana mamlaka wala uhuru wa kuchagua aina ya gari hiyo!View attachment 2008852
Ndugu kila mtu ana sekta yake, Mi sijui kuhusu magari, ndio maana naomba ushauri na mapendekezo ya gari ipi itafaa zaidi. Pia nimeweka aina za gari ambazo nimeona nazimudu gharama. ningesema tu gari huenda kuna watu wangependekeza V8 hapa.
 
Mimi nazungumzia juu ya mke wako.Kwa nini hujampa mke wako fursa ya kuchagua gari anayoipenda?
 
Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...

Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...

Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Huna hela ya kuihudumia kwanini uliinunua sasa? Bora hata uliikimbilia kichwa kichwa imekupiga za uso.
We mwambie ulishindwa kui-maintain sio chuki zako binafsi kisa tu umeshindwa kuihudumia na kuitunza gari ipasavyo. Gari inahitaji pesa na sio pesa za mawazo.
 
Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...

Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...

Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako

Sasa mwezi mmoja tu umepata experience gani? Labda ufafanue
 
Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...

Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...

Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Atakuwa kaelewa, kama unatoa pesa yako kununua wese halafu hakuna unachofanya, inauma sana
 
Fafanua tatizo lake nini?

Gari ilikua inanipa 6km per L tena sio sehem za folen...
Nimeweka plug mpya, oil mpya ya injini na gear box kwa 0-60 lkn wap...

Gari imekuja na bearing zinavuma, bei yake sasa....

Spares zake hazishikiki...

Ofcoz ni gari ambazo unatakiwa uwe na ela mda wote...

Nikiri kwamba sikufanya research ya kutosha kuhusu hizi gari, ni gari ambayo itakupaswa usiwe na huruma na pesa zako
 
Sasa na wanaomiliki BMW watasemaje sasa. Hiyo gari labda ulinunua ikiwa na shida. Spares za Subaru ni bei kuliko Toyota lakini haijafikia hatua ya kusema ni gari ya watu wenye hela
 
Samahani mkuu. Nimekusababishia shida hapo, huwa namfundisha na Discovery sport.

Kama ipo siku ulinunuwa na kunyimwa nisamehe tu nilimchosha kwa kumufundisha
 
Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...

Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...

Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Bro unapokuja kwenye suala la pesa kila mtu ana kipato chake, kuna mtu anamuda bajeti ya 100,000 kwa wiki kwenye wese, wengine 30K... nunua gari kutoka na uwezo wako wa kulihudumia... sasa unakuja kulalamikia kipato chako?... kwanza mtu mwenye kipato kidogo faster atakimbiloa passo, Ist and the likes...
 
Gari ilikua inanipa 6km per L tena sio sehem za folen...
Nimeweka plug mpya, oil mpya ya injini na gear box kwa 0-60 lkn wap...

Gari imekuja na bearing zinavuma, bei yake sasa....

Spares zake hazishikiki...

Ofcoz ni gari ambazo unatakiwa uwe na ela mda wote...

Nikiri kwamba sikufanya research ya kutosha kuhusu hizi gari, ni gari ambayo itakupaswa usiwe na huruma na pesa zako
Forester sio ya kula 6km/L..ilikua na shida mahali. Au uendeshaji wako. Unai-override ukishajua ni subaru tu unamwaga moto mpaka unatoka Economic mode. Mimi nina subaru nakaa Bunju napiga kazi Posta, kwa week naeka mafuta ya kama 150-160kk full tank na nateleza nalo week nzima. Kuna kipindi nilikua na dereva uncaring asee...ile gari ilipata cha moto asee. Yani akishajua tu gari ni subaru na ina turbo akilini mwake anadata. Imagine kwa week nikawa naweka mafuta ya karibia 250k. Naweka karibia full tank mbili kwa wiki yanii
 
Naona alikuwa anaipa moto wa kutosha. Mtu akitaka kumuovateki nae anakiwasha asipitwe.
 
Gari ilikua inanipa 6km per L tena sio sehem za folen...
Nimeweka plug mpya, oil mpya ya injini na gear box kwa 0-60 lkn wap...

Gari imekuja na bearing zinavuma, bei yake sasa....

Spares zake hazishikiki...

Ofcoz ni gari ambazo unatakiwa uwe na ela mda wote...

Nikiri kwamba sikufanya research ya kutosha kuhusu hizi gari, ni gari ambayo itakupaswa usiwe na huruma na pesa zako
Yaani mwezi mmoja matatizo yote haya hii itakuwa ni chai
 
Back
Top Bottom