Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,542
- 2,474
Wakuu natumaini ni wazima wa afya.
Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015
Personal details
Naomba kujua
1. Gharama ya kufanya normal service, ikiwemo recommended oil na bei zake
2.Dos and Don't za hizi gari.
3. Mafundi wazuri wa subaru kwa hapa Dar
4. Kuna kitu gani mwenye SJ5 (NON TURBO) anakikosa kwenye SJG (TURBO). Yaan kuna ulazima wa kuchukua SJG over SJ5?
4. Nataka kuagiza Singapore maana nimeona zina utofauti kidogo na za japan. Za Singapore max speed ni 260 wakati za japan ni 180.
VALENCIA PureView zeiss RRONDO mwambyetete

- Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4)
- Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road.
- Safari za kawaida ni approximately 3 days a week. 60km a day, go and return