Nauza 2012 Subaru SJ5 mkuu, namba yangu ni 0689843760 tuwasilianeHabari za mida wakubwa..
Samahani naomba endapo Kuna mtu anauza hzi gari apo tuwasliane nahitaji...location arusha.
Kama utakua nayo naomba tuwasliane PM ukiwa na picha plus bei yako.
Asanteni.
Picha mkuuNauza 2012 Subaru SJ5 mkuu, namba yangu ni 0689843760 tuwasiliane
Picha mkuu
Mtoa mada naona umekimbia ghafla umehitaji gari umepewa Hadi namba ya simu.
Au unaendelea kujichanga
Hii naiona ipo kwa tambuuHio apo mkuu
Sijaelewa mkuu, nielewesheHii naiona ipo kwa tambuu
Hapan mkuu so kama nmekimbia hapana, tayari nshawasliana nae..Mtoa mada naona umekimbia ghafla umehitaji gari umepewa Hadi namba ya simu.
Au unaendelea kujichanga
Pamoja mkuuHapan mkuu so kama nmekimbia hapana, tayari nshawasliana nae..