nakushauri uifwate tu uje uoione,au kama una mtu unayemwamini aje akague,ukubali lilivyo ndipo tuongee biashara,sidhani kama nitakuwa na muda wa kusafiri hadi mtwara,kazi inabana.
lngekua manual tungeongea biashara kwani nataka hii kitu
Ingekuwa manual bei ibgeongezeka zaidi ya hapo. Hata hivyo hiyo subaru ni bei chee na ushuru wa hiyo ni gari ukiagiza ni kama bei inayouzwa na huyo jamaa.
Fuatilia ushuru wa subaru www.gariyangi.com uone jinsi ulivyo.
Mr. Miela kama unaipenda ongea biashara na jamaa kuliko kusema ingekuwa manual.
Naitaji manual na ndo maana nikasema hivyo
unapenda kupangua gia eeeh.........
unapenda kupangua gia eeeh.........
Ingekuwa manual bei ibgeongezeka zaidi ya hapo. Hata hivyo hiyo subaru ni bei chee na ushuru wa hiyo ni gari ukiagiza ni kama bei inayouzwa na huyo jamaa.
Fuatilia ushuru wa subaru www.gariyangi.com uone jinsi ulivyo.
Mr. Miela kama unaipenda ongea biashara na jamaa kuliko kusema ingekuwa manual.
Finally ,its SOLD too good aliyenunua ni wa hukuhuku JF,,,hongera kwa kuopoa mchuma