Mbona huyo Costa kashindwa kuifunga 'timu kubwa' jana?
Suarez ngoma nyingine. Mimi ni Utd damu ila ukweli nasema. Namuogopa sana huyu goal machine. Waache wajitahidi wakacheze UEFA
Mnafananisha kifo ( Suarez) na Usingizi ( d Costa)!!!! AfterMessi&Ronaldo anayefuata ni L Suarez!! Kushindwa kuzifunga timu kubwa ni jitihada ya hzo timu KUMCHUNGA KM HEWA YA OXYGEN! AMEKUJA ENGLAND 2011 JAN,alichowafanya man u mpaka dirk kuyt anafunga 3pekeyake Natumai unakumbuka., Game aliyomng'ata ivanovic alifunga kwa kichwa na game kuisha. 2-2!man cty ameshamfunga Joe Hart kwa faulo zaid ya mita 27 toka golini! Mancini analijua hili.MWACHE SUAREZ AITWE SUAREZ NDG
Tuanzie hapahamna kitu hapo,angeipeleka timu yake Brazil kwanza ndio angekuwa wa maana,machine huzioni kina CR7,RIBERY n.k?kashndwa kuisaidia timu yake ya taifa kila nyanja,kombe la mabara kachemka,kufuzu WC katokota
Tusipende Kuwa wa nazi jamani mwaka Jana mbona nilisema robin van Parsie mkali? Tusipende kucheka kitu bila sababu sababu tunaongelea Costa na Suarez tu seem ukweli mbona striker zenu haziwafungi hao vibao de kwahiyo inamaanisha wabovu ? Kama alivyo Benteke sasa hivi? suarez kamzidi hata Assist Huyo Costa hata welbeck tukitoa unazi mkali zaidi ya ma striker wote wanaochezea Chelsea na nimesema sio kwa kuichukia Chelsea kwa ukweli.
mibange hiyo hatare kwa afya yako!
Gwiji la soka duniani RONADINHO GAUCHO alikaririwa akimzungumzia mchezaji mwenzake Messi baada ya kuchukua tuzo ya uchezaji bora mwaka flani nanukuu"HUWEZI KUWA MCHEZAJI BORA DUNIANI KWA KUZIFUNGA RAYO VALECANO,OSASUNA,ESPANYOL,GETAFE" sijui kama mulimuelewa hapa?maana sijui wengne munatumia nn kufikiri
Kama issue ni kuzifunga timu kubwa ndio huwe mchezaji bora, nadhani kwangu Michu wa Swansea City ndiye atakuwa mchezaji bora, niambie timu kubwa ya BPL ambayo haijawahi kugmfungwa na huyu jamaa?!
Tuanzie hapa
1. Hivi unajua aliyeongoza kwa kufunga goli nyingi kwenye World cup qualifying msimu huu huko South America?,
2. Na huyo Diego Costa umeanza kumjua lini!?
3. Uafahamu hata timu yake ya Taifa ya wakubwa anayochezea?
4. Kacheza game ngapi kwenye timu ya Taifa na kafunga goli ngapi af ndio uje umlinganishe na suarez.
sielewi swala moja la watu kukataa uwezo wa Suarez, mtu aliyeanza mechi ya kwanza wakat top scorer ana magoli 8 leo yeye anaongoza kwa magoli 9 mbele, dalili ya uchizi ni kukataa ukweli, wote unaokataa ubora wa Suarez mtakuwa machizi kidogo
unadandia treni kwa mbele jombaa!hakuna anayekataa uwezo wa suarez hapa...tatizo ni mtu anayelinganishwa nae hapo ndipo kwenye tatizo,jaribu kupitia michango ya wengine ndio utaelewa vizuri!
Mi namlaumu mleta mada angempambanisha suarez na sturridge,giroud,lukaku,na wanaofanana na hao ila kwa RVP,AGUERO,ROONEY atasubiri
sasa hayo magoli yake ktk mechi za kufuzu yameisaidia nini uruguay?acha bange!
Basi tufanye magoli ya suarez yameipeleka uruguay brazil(umefurahi?)
hapa hatuangalii historia na hata tukiangalia hayo suarez kaifanyia nini uruguay?kudaka mpira ambao ulikuwa goli la wazi dhidi ya ghana ?hilo naamini ndilo aliloisaidia timu yake kufika robo final world cup,ingawa ile ilikuwa kazi ya kipa na yeye kaz yake kufunga!zaid ya hapo hamna kitu
COSTA KWA SASA YUPO JUU YA SUAREZ KUBALI KATAA
kaka nafuatilia mpira na namjua huyo Costa wenu, acheni unazi mwisho wa msimu utabadili kauli mkibisha subiria Brazil ndo mtamtambua vzur
Kwa kiwango chako cha akili ManCity na Cardiff ipi timu kubwa? Arsenal na Sunderland currently ipi ndogo na ipi kubwa? Ukubwa wa timu ni ile kiwango chake katika uchezaji soka ndani ya Ligi na nje ya Ligi.timu ndogo zinacheza premier league? kuweni wakweli suarez yupo vizuri sana msimu huu
Ulivyoandika kishabiki utadhani Uruguay haija qualify World Brazil, Kaangalie group D zipo timu gani. Suarez ndio kaisaidia kuipeleka huko. Vipi Costa kwenye National team?sasa hayo magoli yake ktk mechi za kufuzu yameisaidia nini uruguay?acha bange!
Basi tufanye magoli ya suarez yameipeleka uruguay brazil(umefurahi?)
hapa hatuangalii historia na hata tukiangalia hayo suarez kaifanyia nini uruguay?kudaka mpira ambao ulikuwa goli la wazi dhidi ya ghana ?hilo naamini ndilo aliloisaidia timu yake kufika robo final world cup,ingawa ile ilikuwa kazi ya kipa na yeye kaz yake kufunga!zaid ya hapo hamna kitu
COSTA KWA SASA YUPO JUU YA SUAREZ KUBALI KATAA