Suarez ang'ata tena

Suarez ang'ata tena

Katika mechi ya kombe la dunia iliyomalizika hv punde kati ya Italy vs Urugway tumeshuhudia kwa mara nyingine tena mshambuliaji wa kimataifa na mchezaji wa timu ya liverpool Luis Suarez akimng'ata meno kwa nguvu beki wa Italy. Hii ni mara ya pili kwa Suarez kufanya kosa hilo kwani mwaka jana alifungiwa na FA kwa mimeno yake hyo...
Suarez ang'olewe mimeno yake ili aache hii tabia isiyofanania kabisa na soka!!!! Suarez - weka mbali na wachezaji

Hili ni tatizo la watoto wa kutafuta kwa waganga wa kinyeji, kina MziziMkavu
 
Katika mechi ya kombe la dunia iliyomalizika hv punde kati ya Italy vs Urugway tumeshuhudia kwa mara nyingine tena mshambuliaji wa kimataifa na mchezaji wa timu ya liverpool Luis Suarez akimng'ata meno kwa nguvu beki wa Italy. Hii ni mara ya pili kwa Suarez kufanya kosa hilo kwani mwaka jana alifungiwa na FA kwa mimeno yake hyo...
Suarez ang'olewe mimeno yake ili aache hii tabia isiyofanania kabisa na soka!!!! Suarez - weka mbali na wachezaji

Kweli kila mtu anaudhaif wk
 
Makubwa, hivi hata kwenye kombe la dunia kuna wachezaji vichaa?
 
huyu suarez tabia yake naichukia sana fifa watoe adhabu kali mpaka ajute kuzaliwa. Pumbavu sana
 
Waingeleza wana hasira na jamaa kwenye media zao wanamuongelea yeye, magazeti yamempamba yeye. Huyu jamaa anaweza fungiwa miaka 2 hivi na FIFA
 
Huyu dawa yake kuvalishwa MUZZLE (zile kama za mbwa) kabla ya kuingia uwanjani:-(
 
Ameshawahi kupimwa akili yake huyu, maana dalili ni nyingi pamoja na zile mbio zake uwanjani bila kuchoka nazo zina sababu yake...
 
Inaoneka alishawahi kula nyama ya mtu hapo awali, hapo anatimiza maneno ya Baba wa Taifa Mwal. Nyerere kuhusu kula nyama za watu.....
 
Amepiga hat trick ya kung'ata kwa meno, inaonyesha alianza 2010 halafu 2013 na sasa 2014 Brazil. Huyu jamaa hafai na alisababisha Ghana kule Africa Kusini ikatolewa kwa kucheza kwa mikono badala ya miguu
 
amekuwa na matukio mengi ya kung'ata wenzake! Hivyo nadhani adhabu inayomstahili ni kung'olewa hayo meno.
 
Hizo ni propaganda za vyombo vya ilaya na fifa..wanaona timu za uefa zinagigwa wanaanza kuhamisha tension..unafikiri kuwagonga england na italia ni mchezo..? Hata de rossi kawaambia italy waache visingizio wamekuwa mabishoo sana..
 
Waitalia soka limewashinda wanaamsha mjadala..wanakwepa aibu maana baada ya kuifunga england walianza kuwacheka kwamba inatoka kumbe wanatoka wote
 
Huyu achongewe vifaa maalum vya kuvalisha meno wakati wa mechi, la sivyo atang'ata wengi sana.!
 
Back
Top Bottom