huyu ndiye waziri mkuu mnafki zaidi ambaye Tanzania imewahi kupata! i hate him
hivi alisema na bei ya sukari iwe
ni tshs ngapi vile?
utamsikiliza nini wakati alishakuja na majumwisho yake kuwa hakuna kupandisha mishara.mi naamini walipaswa kumsikiliza wapime kisha wafanye maamuzi.hii ya kumhukum pinda bila kumsikiliza ni kosa kubwa sana.
mi naamini walipaswa kumsikiliza wapime kisha wafanye maamuzi.hii ya kumhukum pinda bila kumsikiliza ni kosa kubwa sana.
mtu mwenyewe mgonjwa muacheni bana..kama sio u PM si angeshakufa huyu
huyu mzee anatakiwa kupigwa mawe hadi kufa