Suala la Nondo na mpenzi hewa (aliyevishwa kininja) asiyejua mitaa ya Iringa inaonyesha Polisi wanavyobambikiza kesi

Huyo dogo anaenda jela kimasihara tu kwa sababu ya kutaka kujaribu siasa mfilisi. Na huyo dogo ndio atatolewa kama somo na fundisho kwa watu wa aina yake, ukiruhusu ujinga wa namna hii uendelee kuna siku nchi itaingia machafukoni sababu ya nyumbxxx fulani anatafuta mkato wa umaarufu wa kisiasa.

Kijana Abdul Nondo utabeba mzigo wako mwenyewe, wale waliokuwa wanakusifia na kukupa kichwa kwa ujinga wako ukishaingia ndani ya nondo watakusahau. Ni mategemeo yangu utahudumia kifungo chako vyema na kuja kutoka raia mwema.
Stupid
 
Huyo vero ana elimu ya Kidato cha sita au elimu ya chuo kikuu?

Maana kuna mahala nimesoma amesema elimu yake ni kidato cha sita na sasa anajishughulisha na ususi, wakati huo huo anadai alisoma chuo Tumaini Iringa.

Kwani uki DISCO ukarudi mtaani unakua na elimu gani?
 
Tumalizane kwanza na mambo ya maandamano yale waliyo yanadi kwa nguvu zao zote.
 
Huyo vero ana elimu ya Kidato cha sita au elimu ya chuo kikuu?

Maana kuna mahala nimesoma amesema elimu yake ni kidato cha sita na sasa anajishughulisha na ususi, wakati huo huo anadai alisoma chuo Tumaini Iringa.
Sijui wakili hili limempitaje aiseee? Huyu shahidi ni jakubumbaaaa!!
 
Huyo dogo anaenda jela kimasihara tu kwa sababu ya kutaka kujaribu siasa mfilisi. Na huyo dogo ndio atatolewa kama somo na fundisho kwa watu wa aina yake, ukiruhusu ujinga wa namna hii uendelee kuna siku nchi itaingia machafukoni sababu ya nyumbxxx fulani anatafuta mkato wa umaarufu wa kisiasa.

Kijana Abdul Nondo utabeba mzigo wako mwenyewe, wale waliokuwa wanakusifia na kukupa kichwa kwa ujinga wako ukishaingia ndani ya nondo watakusahau. Ni mategemeo yangu utahudumia kifungo chako vyema na kuja kutoka raia mwema.
kwa mambo yanavyoendelea unaweza kushabikia vyovyote ila amani ni tunda la haki.
 
Haki ndio nyumbxxx kujiteka ili alete taharuki? Huyu dogo atapata haki yake tu usijali maana hata majambazi wanapataga haki zao wakienda mahakamani.
 
Hivi Hao Polisi Huwa Ni Wanzania Kwer Kwa Nini Wabambikie Kesi Wenzao !
 
Hili tukio linaweza kuwa lakutengeneza na kwakuwa kuna mrengo fulani umetengenezwa nayaona yafuatayo.

Kwanza ushahid wa huyu bint una mashaka mengi sana imawezekana nae ameahidiwa kuacha kusuka sasa na atapatiwa kazi.

Lakini pia watekaji inawezekana walitumia simu ya Nondo ili kutengeneza hio picha kamili, hivyo hata ushahid wa message kutoka tigo bado utakuwa na mashaka kama ni nondo kweli,

Ushahid wa simu na kompyuta mpakato ambavyo wamevishikilia mashahid bado upo uwezekano wanaendelea kutengeneza huu mchezo mwisho wa siku.

Mahakama kwasasa iko Under control watamtia hatiani na adhabu yake itakuwa fine ya Million 3.5 au kifungo cha miaka 2 jela. Watalipa.

Mwisho wa yote kumbukumbu za yote hayo Allah anahifadhi kwenye daftari lakila anae stahiki kujumuishwa na siku ya Saa kila mmoja Atapata anacho stahili baada tuu ya kiama kidogo nakile kikubwa kitakuja kuwafichua watu na haki zao.
 
Tuache kila mmoja achume anacho kichuma kwani hata wewe unae furahia kwa chuki na uadui utakuwa mas'ulia.(answerable)
 
Huyo dogo anaenda jela kimasihara tu kwa sababu ya kutaka kujaribu siasa mfilisi. Na huyo dogo ndio atatolewa kama somo na fundisho kwa watu wa aina yake, ukiruhusu ujinga wa namna hii uendelee kuna siku nchi itaingia machafukoni sababu ya nyumbxxx fulani anatafuta mkato wa umaarufu wa kisiasa.

Kijana Abdul Nondo utabeba mzigo wako mwenyewe, wale waliokuwa wanakusifia na kukupa kichwa kwa ujinga wako ukishaingia ndani ya nondo watakusahau. Ni mategemeo yangu utahudumia kifungo chako vyema na kuja kutoka raia mwema.
Kwa hiyo ndo umetoa hukumu mesimiwa?
 
Back
Top Bottom