Habari za jioni
Swala la mahusiano limekuwa changamoto sana hasa kwa sisi wanawake tunaishia kulalamika wanaume wote ni wachezeagi tatizo liko kwetu tubadilike.
Tuzingatie hili swala kabla hujaanzisha mahusiano mapya lazima ujiulize mahusiano unayotaka kuanzisha ni ya namna gani?yakufikia ndoa au kupotezeana siku.
Tuache kuweka vitu mbele kwa kuangalia pesa na ukaangali utafaidika na nn katika mahusiano unayotaka kuingia.Anza kwanza ndo hayo maswala yaje baadae
Tuache kuweka vigezo nataka mwanaume wangu awe hv na awe na hiki na kile,Umemuumba wewe?awe na kila kitu unachokitaka vitu vingine vinatengnezwa ndani ya mahusiano.Tujitambue aisee
Angalia mapenzi ya kweli pesa inakuja baadae utaenjoy ukishatengeneza mahusiano imara wala utaombaomba utapata kwa mwanaume wako kwa sababh ataona yuko na mtu sahihi na muda sahihi.
NB:Mapenzi ya kweli yapo wanawake tubadilike ili haya majina ya slay queen&wadangaji tusiitwe