Naona mmeamua kuongea maneno yenye busara. Tumieni hii nafasi kuwafundisha wenzenu, hakuna kitu kibaya kama "bhanaae ndo ishakuwa hivyo". Kukata tamaa ni kubaya sana. Hata kama binti ulianza kwenye mahusiano ya kupewa kila kitu unachokitamani in a blink of an eye mambo hubadirika.
Na nawapa siri sasa mwanaume aliyekupenda na anayemaanisha kuwa nawe hawezi kukupatia kila unachohitaji kwa muda unaotaka. Lazima tuwapime wapenzi wetu, je ninapokuwa sina ananichukuliaje? Nikiona anamtazamo wa kung'ang"aniza au kununa pale ninapokuwa sina kitu huyo hafai, ndipo pale fikra za kuwa nawe bila malengo zinazaliwa.
Uhusiano wowote wahitaji creativity, protection, care and the last thing ni persereverance.