Huo ni uoga wa Taifa lililoshindwa kudhibiti hali ya usalama. Yan tuache hali ya miji yetu mizuri iendelee kuchafuka kwa sababu tuna hofu kwamba tukiwaondoa wataanza kutuibia majumbani mwetu?Minada inafanyika mara ngapi kwa wiki? Unataka wakauze kusikokua na wateja ili nani anunue?
Hadi waanze kuanua nguo zako ulizofua ukaanika na kukuchomolea sidemirrors ukiwa unaendesha gari yako ndio utaelewa kwamba wao pia wanatafuta chochote waishi na wao pia wana majukumu na familia kama wewe
Nitaendelea kusema Kinachotakiwa ni kuwapangia na kuwasimamia sio kuwafukuza
Nna tatizo sawa lakini wewe ni ****.Naona una Tatizo kubwa sana kwenye malezi na makuzi yako. Polee sana
Watu wafuate taratibu tulizojiwekea, tuache kujificha kwenye siasa eti hawatatoa kura, CCM ilishasema hata wakitoa kura kwingine CCM ndio kitaunda dola na ndio ukweli.Utamsingizia jpm, hizi siasa zilianzia Zambia, maiko satta alipata support kubwa ya machinga, yule mgombea mwenza yule mzungu alikula sahani moja na machinga tena akitumia bodaboda, baada ya hapo mtizamo wa machinga kisiasa ibadilika.
Pia tukumbuke Lau Masha alipigwa chini na hawahawa machinga baada ya kuwatamkia kuwa akishinda ubunge atawafutilia mbali wakati huo akiwa waziri wa mambo ya ndani sirro akiwa rpc mwanza. Anaijua vizuri nguvu ya machinga.
Sasa wewe unafikiri hao wamachinga wakifa njaa au kuchomwa moto kwa kuwa vibaka kura zitatoshaje😂😂😂
Utaratibu ndio kitu cha msingi, sio kuwadharau wala kuwafukuza. Wao pia wana familia na mahitaji kama wewe
Kuna changamoto sana hapa Tanzania katika kutumia resources tulizonazo vizuri. Leo hii asilimia kubwa ya Tanzania haijapangwa Ila hili Tatizo suluhisho lake lilikuwa kuwatumia tu hawa wanafunzi wa vyuo vyetu vya ardhi.Mkuu heko sana, umeandika proposal ambayo imekuwepo akilini kwangu...
Huwa nakosa tu mwamko wa kupoteza nguvu zangu kuandika threads za ushauri hapa...
Tatizo ni kwamba hakuna kiongozi/viongozi wanaochukulia serious mitandao kama hii...
Nchi za wenzetu huwa wanatumia sana wanafunzi waliopo vyuo vikuu kwenye ubunifu wa miradi, mifumo, miundombinu n.k...
Mfano hili la vibanda vya kisasa/mimbari za kisasa n.k vya kimachinga lingeweza pelekwa kama sehemu ya assignment au challenge fupi yenye tunzo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kama ardhi, then wanafunzi wanachora na kusanifu na kuikabidhi kamati maalum. Mwisho wa siku kinapatikana chuo na mshindi anapewa tunzo...
Mchoro unapelekwa kwa wahusika wengine kama JKT kwa ajili ya kuufanya kuwa hai juu ya ardhi...
Huo ni uoga wa Taifa lililoshindwa kudhibiti hali ya usalama. Yan tuache hali ya miji yetu mizuri iendelee kuchafuka kwa sababu tuna hofu kwamba tukiwaondoa wataanza kutuibia majumbani mwetu?
Polisi na vyombo vingine vya Usalama kazi yake nini?
Tunapendekeza wasifukuzwe au kupigwa Ila wapangiwe utaratibu ulio Bora zaidi!Polisi hawapo kuzuia watu wasijitafutie chakula, wapo kulinda usalama kwa kushughulika na magaidi, vibaka na wezi
Saidia police na Punguza wahalifu kwa kusaidia hawa raia wema wanaojitafutia maisha yao kupitia wasiende kuwa vibaka
Kuwawekea utaratibu na kuwasimamia ni bora kuliko kuwafukuza na kuwapiga
😂😂😂Siyo kwamba hawaelewi.
waliingia mjini kwa mbio za mwemge na kuajiriwa kimkakati.
Kosa limeanzia kwa Magufuli kutoajiri watu na pia kutojenga njia sahihi ya hawa watu.Machinga leo wanaitwa uchafu takataka.
Kama JPM alikuwa anapata feelings nazosikia nikiwatazama wamachinga mitaa ya kariakoo, basi Mungu ampe pumziko jema yule mzee.
Kuna wanangu sijui wataenda kuishije mtu kamaliza chuo miaka 7 hana kazi kaamua kuwa mlengaji anaanza kuona mwanga mara paap anarudishwa kitaa...
Sijui kama watu wanaona kinachoenda kutokea....all in all maisha ni vita ngumu sana mtu asipojua size ya viatu vyako anaweza fanya lolote tu... poleni sana wanangu kwa sasa hamna chenu.
Sawa. Tatizo serikali haiko tayari kutumia nguvu kutimiza matakwa ya sheria dhidi ya machinga. Umemsikia Rais akisema nguvu isitumike - a big joke. Wako tayari kupiga mabomu ya machozi hata risasi za moto kwenye ofisi za upinzani kuzuia mikutano ya ndani, lakini sio kwa machinga.Weweee usicheze na serikali tia vibanda vyote moto mchezo kwisha .Nashauri Serikali iwajengee sehemu rasmi halafu iwahamishe, biashara hizi ndogo ndogo duniani kote zipo lkn si hizi za wamachinga wanavyofanya hawa ni wavamizi wajengewe out of the city maduka au vibanda vidogo vidogo kwa ajili ya biashara zao halafu hamisha kwa nguvu zote
Sasa mbona hata halihusiani?!!mtu anakuja kupanga bidhaa mbele ya mlango wa kuingilia dukani kwako, na ni bidhaa hizo hizo unazo ziuza na yeye anauza bei nafuu kwakuwa halipi kodi wala pango?!!kuhusu mabasi kila mtu anajua akitaka kusafiri anatakiwa kwenda wapi ndiko atakuta usafiri.Kama suala ni kupata wateja, vp kama wale wenye makampuni ya mabasi nao wakianza kujitafutia maeneo yao binafsi ya maegesho kisa wateja itakuaje??
Mimi nazungumzia huku mtaani, kila mala mgambo walikuwa wanapita na kuwakamata,na kuharibu mali zao, na kipindi kile hakukuwa na mabanda kama haya yaliyopo sasa!!walikuwa wanapanga vitu chini lakini ikipita operation mitaa ilikuwa wazi.Machinga Complex ilijengwa kipindi cha JK na machinga hawakwenda kwa kifupi waligoma
Ila mji ulikuwa mchafu zaidi ya sasa hiviMimi nazungumzia huku mtaani, kila mala mgambo walikuwa wanapita na kuwakamata,na kuharibu mali zao, na kipindi kile hakukuwa na mabanda kama haya yaliyopo sasa!!walikuwa wanapanga vitu chini lakini ikipita operation mitaa ilikuwa wazi.
Inategemea unaposema mji msafi au mchafu una lenga kwenye muktadha upi.Ila mji ulikuwa mchafu zaidi ya sasa hivi
Ajengee wangapi? Akiwajengea wanaitana wote kutoka vijijini wote wahamie mjini waje kupewa huduma za Bure, solution Kila mtaa ulazimishwe kujenga soko lake la biashara za kichinga Nchi nzima haijalishi iwe kijijini au mjini Kila mtaa uwe soko la chinga la kudumu ambalo litatumika kama munada wa Kila siku Kila huduma ya kisoko ya vitu vidogo vidogo ipatikane hapo.Angewapenda angewajengea chinga city jangwani na karume sio kuwaacha wauze vitunguu mpaka kwenye kuta za ikulu.
Ila dada we sio mwelewa kbsTatizo sio machinga, tatizo ni wenye kutakiwa kuwahudumia na kuwasimamia wamekaa maofisini bila kufanya majukumu yao
Unaposema kibaya zaidi wamekaa kwenye maeneo yenye mirija ya watu wengi wewe ulitaka wakauze kusikokua na watu?
Huu Ubinafsi na roho mbaya vinatufanya tushindwe hata kutoa mawazo yanayoweza kujenga nchi na uchumi wetu zaidi ya kubomoa
Ila dada we sio mwelewa kbs
Wakifanya majukumu yao si watawatoa wote barabarani waanze kulia lia..?
Sheria ikinyooshea machinga ana haki?.HANA...
Ubinafsi upi?.
issue is mfano machinga complex ni mjini katikati ila hawataki wanataka mbele barabarani..huo ndio utaratibu?
soko la kisutu liko pale trust me machinga wakipangiwa wanaweza kataa wanataka chini
lazma tukubali fremu zishajaa kariakoo tukaendeleze pengine
ni kama vile ukomae kutaka kununua shamba mjini posta ama upanga hizo zama zishapita....
Issue sio watu dada
Watu/wateja wako kila sehemu ndo mana tuna maduka hadi mtaani katikati ya nyumba na wanauza vizuri tu
Ila machinga wanapenda urahisi na hawataki fata taratibu...
Uhalisia unakataa...
nashukuru Mh Samia katoa go ahead mini ikae vizuri
Na kwa hili hakuna namna nguvu lazima itatumika ili iwe fair kwa wote
Hahaha ujue unachekesha sana...Wewe kilaza kweli. Kwa hiyo solution pekee iliyokua kichwani kwako ni kuwaondoa mabarabarani kwani wote wanafanyia katikati ya barabara??
Kwanini wewe usihamishie duka lako huko machinga complex?? Au hapo karakoo unauzia kwenye nyumba yako?
Kama wateja wako kila mahali waambie hao wenye maduka wahamie sehemu ambazo hamna machingaz
Usimuwekee Rais maneno mdomoni. Machungaz wanatakiwa kufuata taratibu sio kufukuzwa mjini
Utaendelea kuumia sana
Hahaha ujue unachekesha sana...
kwa jinsi mnavyopenda cheap popularity badala ya kueleza watu ukweli
Yani wabongo bwn....mi siumii niumie kwa lipi
Sana sana am very happy tunaenda kupata suluhu na kodi zitaongezeka maradufu...
Yani mtu uwe na duka lao unalipia kila kitu afu we ndo uhame kupisha machinga ahahahaha unachekesha sana we dada..yani zaidi ya sana..atahama machinga i tell you...yuko mbele ya duka la mtu bila uhalali...
Nyie ndo mlichangia hili tatizo..sijui kwanini mnajisahaulisha kuwa kila raia ana haki..km wengine wanafata sheria machinga ye ni nani asifuate?..sheria msumeno
ngoja tukae kimya...subiri hilo pangua pangua ndo utajua Serikali ni nani...
Tena na kodi watalipa wakishapangwa
Wanaelekea maisha wasiyoyapenda ila ndio maisha sahihi na halisi wenye fremu wote mbona wanalipa....
Pata kipato lipa na kodi
Free riding ndo inaishiaa hivyo hahahahah mtajua hamjui nakwambia u will know u dont knoww...
serikali jmn wahi muanze toza kodi hawa watu nchi itunishe mfuko heheh