Siku za hivi karibuni Simba fc aka Mnyero fc anatembelea nyota ya Young African Sc kwenye usajili wake. Refer: Adam Salamba, Charles Ilamfya, Gadiel, Konde boy, Bwalya, Morrison, hata kwa Kagere ilikuwa the same etc. Wakisikia Young African Sc Wana mazungumzo kuhusu usajili wa mchezaji Fulani, wao mbio wanamsajili fasta. Ila kwa Bwalya, Ilamfya, Salamba na Morrrison wameukwaa. Hata Kichuya wakati anatejea kutoka Misiri Young wakiwa ktk harakati za kumsainisha, Mikia faster wakaingilia dili lake, Sasa Ina kilichwapata, wamepigwa faini na inawezekana wskapigwa ban ya kusajili. Mikia fc acheni kukurupukia na kuingalia sajili kisa mna fedha ya Mhindi, mwishowe naye atawachoka na kuwatosa kabisa. Sajilini kwa nafasi zenye mapungufu na kwa kufanya scouting wenyewe na siyo kutembelea scouting za wenzenu.