Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Mkuu usipoteze nguvu sana kumuelezea, maana hatakuelewaTehee he hee sasa nitapandiwa dau mimi au huyo shemale (dumejike) mwenzako anaetetea usawa kwamba yeye na wewe mko sawa, yeye ndio anaweza kupandiwa dau, ooh nilisahau street and silly stupid bitches hua hawawezi kuwaza streight.
Jaribu kuelewa kaka kwa upande wa gender af we msomi sijui una kwama wapiTehee he hee sasa nitapandiwa dau mimi au huyo shemale (dumejike) mwenzako anaetetea usawa kwamba yeye na wewe mko sawa, yeye ndio anaweza kupandiwa dau, ooh nilisahau street and silly stupid bitches hua hawawezi kuwaza streight.
Umetoa justification mzuri Sana short and brief mtu yeyote anaelewa bila kushikiwa fimboWatu wengi hawajui Gender na hawajui tofauti ya Gender na Sex,
Mtu anakaza misuli ya vidole gumba kubisha kitu hakielewi, anatoa maelezo mengi ya sex badala ya gender,
Kuna sehemu umetoa mfano mzuri sana,
Ulisema Jamii ndio imetengeneza Gender Role na ili kuthibitisha hilo tunaona kuna Jamii ya Pwani Wanaume wanaenda wao Sokoni lakini kuna Jamii ya Bara Wanawake ndio wanaenda Sokoni,
Kuna jamii Wanawake ndio wanafanya kazi zote kama kuchunga, kuleta kuni, biashara, kiufupi yeye ndie anatunza Familia na Mwanaume kazi yake ni kunywa Pombe na Kuoa Wake wengi,
Humu wengi hawana exposure Mtu asema Mwanamke hawezi kubeba Zege wakati Jamii tu ya Wamasai Wanawake ndio wanajenga Nyumba,
Wamakua Mwanamke ndie Kiongozi wa Nyuma yaani ndie Kichwa cha Familia, hao Watoto hawajui wanakuja kukutolea Povu hapa,
Naungana nawe kua Gender Roles zimetengenezwa na Jamii husika kwa kumgawia kila Mmoja Majukumu yake kwa kadri wao wataona,
Na nimekuelewa lengo lako ni kutaka kuweka Usawa kwa Wote na sio huyu anapaswa afanye hili sababu ni Ke na huyu afanye lile sababu ni Me.
KweliMkuu usipoteze nguvu sana kumuelezea, maana hatakuelewa
πππππ we inaonekana umekulia ushuani sana et!? Ebu njoo huku kajampa nani utoona hao wanawake wanaobeba zege. Tafta mfano mwingne ila huo wa zege siku hiz nao wanabebaKwa hyo katika sex ndio kuna tofauti kati na mwanaume ila katika gender hakuna tofauti ?! Yani mwanamke anaweza kubeba zege kama mwanaume ?! Kuna mkuu hapo juu amecomment kua wewe ushoga unakunyemelea kua makini dogo.
Mkuu nataka kujua jambo, umelelewa na single mother sio ?! Yani wewe na Ashura hamko tofauti ?! Aiseee Mungu waepushe watoto wangu wa kiume na hii mentality.
Mabaharia watamvutia kasi ngoja ajilegezeWewe jamaa ni mwanamke au mwanaume?
Kama ni mwanaume basi naweza kuleta facts na ushahidi kkuonesha kwamba unaanza kupotea kijana.
Kwani we peke yako ndio unatafuta pesa lekebisha kauliHuyu ni shoga kabisa hajui wanaume tunavyokula msoto kuisaka pesa halafu anaongea ujinga
Mdogo wangu yani naona kabisa hakuja namna tutaelewana, tunalugha mbili tofauti kabisaaa. Wakati wewe unaona mwanaume na mwanamke ni sawa mimi naona binadamu wawili tofauti kabisa.Jaribu kuelewa kaka kwa upande wa gender af we msomi sijui una kwama wapi
Mfano we ukiosha vyombo kunamhali unapungua?
Pole upewe wewe,Kukosa hoja wapi wewe.... ilishaandikwa na inafahamika hivyo mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke
sasa wewe kama unalazimisha hivyo pole yako
Hujui maana ya Gender na bado hujamuelewa mtoa Mada na hiyo imeonesha kupitia swali lako hiloWewe Kwa akili yako unadhani kuna USAWA WA ki-gender baina ya Mwanaume na mwanamke?
Heee nitoe tongotongo mkuu kuna wanawake wanabeba zege ?! (Zege namaanisha kokoto, cement na mchanga sio zege msemo wa chips yai)πππππ we inaonekana umekulia ushuani sana et!? Ebu njoo huku kajampa nani utoona hao wanawake wanaobeba zege. Tafta mfano mwingne ila huo wa zege siku hiz nao wanabeba
Amepanic maskiniTehee he hee sasa nitapandiwa dau mimi au huyo shemale (dumejike) mwenzako anaetetea usawa kwamba yeye na wewe mko sawa, yeye ndio anaweza kupandiwa dau, ooh nilisahau street and silly stupid bitches hua hawawezi kuwaza streight.
Ana usomi gani huyo Chokoraa damu,Jaribu kuelewa kaka kwa upande wa gender af we msomi sijui una kwama wapi
Mfano we ukiosha vyombo kunamhali unapungua?
Naona umegoma kuelewaIla mbona unaandika maandishi kama umelegea kijana acha hiyo tabia mbona mbususu tamu sana
zege hiyo hiyo tena wengine ni mafundi kabisa ukiwakuta site unaweza usijue kama kweli wanaweza.Heee nitoe tongotongo mkuu kuna wanawake wanabeba zege ?! (Zege namaanisha kokoto, cement na mchanga sio zege msemo wa chips yai)
Si nilisema wewe ni brainless,Heee nitoe tongotongo mkuu kuna wanawake wanabeba zege ?! (Zege namaanisha kokoto, cement na mchanga sio zege msemo wa chips yai)
Kumuelewesha Chizi utajipa Kazi,zege hiyo hiyo tena wengine ni mafundi kabisa ukiwakuta site unaweza usijue kama kweli wanaweza.
Hujui maana ya Gender na bado hujamuelewa mtoa Mada na hiyo imeonesha kupitia swali lako hilo