Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,498
- 89,256
Sio izo tu Ila mm Nina stick kwenye mgawanyo wa kazi mm nakaa na mtoto wa kike na wakiume lakini nime socialize kuwa Kama wakike ataosha vyombo bas wakiume afagie uwanja au afanye kazi yeyote ile
Hapana mkuu tupo hapa kuelimishana ndio maana tuna Jenga hojaMnaanzaga hv hv,, mwishoni mje kusema sex and gender haviingiliani,, muanza mambo ya transgender
Kwaio kwa matukio yanayo endelea mpka sasa wew unaona sahihi Kama vile wanawake kuuliwa na kukatwa mapanga na wanaume kupigwa nankufanyiwa ukatili ila ni hawasemi unaona sahihi?
Nimeona huko juu unasema gender na sex ni vitu viwili tofauti,, kimoja ni social construct kingine ni biological factHapana mkuu tupo hapa kuelimishana ndio maana tuna Jenga hoja
Umezungumza vema ya kua kuna clear varitions katika biological makeup kati ya wanaume na wanawake, je utashi wako haukuelekezi ya kwamba viumbe hawa wanekua formed differentlly biological to suit into different roles ?! That is to say they can't and shouldn't be equally ?!Gender Socially constructed set of roles and
responsibilities associated with being girl and boy or
women and men, and in some cultures a third or
other gender.
Sex Biological characteristics (including genetics,
anatomy and physiology) that generally define
humans as female or male. Note that these biological
characteristics are not mutually exclusive; however,
there are individuals who possess both male and
female characteristics
tuelewane hapo kwaz
Nina jirani yangu ambaye yeye ana mumewe Wana mtoto wa mwaka mmoja mume akienda kazi mke anashika mtot na mke akienda kazi mume Kama hajaenda bas mume atamlisha mtoto atamuogesha yaani kaz zote atazifanya na Kama chakula atapika wale wakubwa wakitoka shule wale chakula ni familia ambayo Hapa mtaani kwetu wat wengi wamevutiwa nayo na life style yaoMtoto wa kiume akishajua hizo kazi muachishe, hizo kazi atafanyiwa na Mke wake, badala umfundishe mtoto wa kiume kutafuta pesa ili aweze siku moja kuihudumia familia yake, unamfundisha na kumsisitiza kazi ambazo hazitamsaidia popote Kama Mwanaume.
Hapo unamuharibu kijana wako pasipo wewe kujua.
Mwanaume lazima asifundishwe kazi za kike ili kumfanya awe muwajibikaji katika Kazi zake na aone umuhimu wa mwanamke.
Sasa Kama kijana atajua Kupika, Kufua, Kuosha vyombo, na kufanya usafi unafikiri ataona umuhimu wa mwanamke hapo?
Mfundishe mtoto wa kiume Kazi za kiume na majukumu ya kiume ambayo yanafahamika
1. Kujilinda na kuilinda jamii yake.
2. Kufanya kazi za uzalishaji
3. Kutunza Pesa
4. Kuongoza na kuitawala familia.
5. Kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kutoa adhabu Kali au kufukuza watu(ikiwemo mtoto au mke) ambaye ataenda kinyume na sheria zake.
Sio umfundishe mtoto ujinga ujinga
Nina jirani yangu ambaye yeye ana mumewe Wana mtoto wa mwaka mmoja mume akienda kazi mke anashika mtot na mke akienda kazi mume Kama hajaenda bas mume atamlisha mtoto atamuogesha yaani kaz zote atazifanya na Kama chakula atapika wale wakubwa wakitoka shule wale chakula ni familia ambayo Hapa mtaani kwetu wat wengi wamevutiwa nayo na life style yao
Kijana anaelekea kupotea, kusoma kidogo na kujua kuandika gender anajitoa ufahamum babue mkuu, anashindwa kufanya marejeo hata kwenye vitabu vitakatifu
@mwachiluwi ttz ww bado unangangania kitu ambacho usababisha Maafaa kwa kiwango kikubwa kazi zote zigawe sawa kw kila jinsia apa sasa tunazalasha wapigania haki sawaNina jirani yangu ambaye yeye ana mumewe Wana mtoto wa mwaka mmoja mume akienda kazi mke anashika mtot na mke akienda kazi mume Kama hajaenda bas mume atamlisha mtoto atamuogesha yaani kaz zote atazifanya na Kama chakula atapika wale wakubwa wakitoka shule wale chakula ni familia ambayo Hapa mtaani kwetu wat wengi wamevutiwa nayo na life style yao
aisee nashangaa sanaKijana anaelekea kupotea, kusoma kidogo na kujua kuandika gender anajitoa ufahamu
Kwamaaana at Jamii ilipo weka majukumu waliangalia kwa upande wa sexUmezungumza vema ya kua kuna clear biological makeup kati ya wanaume na wanawake, je utashi wako haukuelekezi ya kwamba viumbe hawa wanekua formed differentlly biological to suit into different roles ?! That is to say they can't and shouldn't be equally ?!
You need to change your mindsetIvyo vitabu vumeandikwa na watu Kama we tu ndio maana ukisoma ukatafakari vitabu vyenyewe vinabishana
Unapoangalia upande wa majukumu Jamii ndiyo imepanga majukumu kwa mwanamke na mwanaume that why unaona Jamii nyingine Kama wamakonde wanaume ndi o wanao enda sokoni lakini ukija kwa mpale mwanamke ndio anaenda sokoni mwanaume hawezi kwenda sokoni elewa ilo na ujue kutofautisha
Obidient ya mwanamke Kwa mwanaume sio ishu ya kijamii hiyo ni ishu ya nature,
Kama Mnyama Kama nyani anajua tofauti za Jinsi ya kiume na jinsi ya kike utasema pia nyani ni sehemu ya jamii?
Istilahi hizo za kisomi zisikufanye ushindwe akili hata na wanyama.
Paka, mbwa, hata ng'ombe wanajua huyu ni mwanaume na huyu ni mwanamke, na anavyomchukulia mwanamke ni tofauti na anavyomchukulia mwanaume.
Kuna Nature na Culture hivi vitu unavichanganya.
Masahihisho kidogoMkuu huenda unalengo zuri katika huu mjadala lakini Kwa lugha rahisi na upole.
Katika variable hizi yaani Jinsia (Sex) na Jinsi (Gender) lazima uangalie ipi ni Dependent variable na ipi ni independent Variable.
Jinsia(Sex) ni Independent Variable
jinsia (Gender ni Dependent Variable
Gender Inategemea Jinsia, lakini jinsia haitegemea Gender.
Jinsia ndio inayozalisha Jinsi,
Katika jinsia kuna jinsia yenye nguvu na jinsia dhaifu hii hupelekea jinsia yenye nguvu kuzalisha Gender yenye nguvu, na jinsia dhaifu kuzalisha Gender dhaifu.
Mwanamke kibaolojia, kisaikolojia (akili na tabia), kinguvu ni dhaifu ukilinganisha na Mwanaume. Ndio maana mwanaume katika ulimwengu anamajukumu makubwa kuliko mwanamke.
Alafu usije ukasema amepewa na jamii, hakuna siku jamii ilikaa kumpa majukumu mwanaume, hiyo imekutwa hivyohivyo na kumbuka mwanaume ndiye Jamii yaani Mtawala.
Ukisema siku hizi wanawake wanafanya majukumu ya kiume hivyo inafanya kuwe na USAWA wa Kihindi(Gender) baina yao, utakuwa unakosea, Kwa sababu mtu anapofanya kitu watu wanaangalia matokeo baada ya kitu kufanyika.
Mwanamke akifanya kazi za mwanaume, je anapata athari Hasi au chanya, jibu ni kuwa anapata athari Hasi, Kama vile kukomaa na kuharibika maumbile, kuchoka na kupoteza utu wake kama Mwanamke, na Kama ameolewa basi atashindwa baadhi ya majukumu ya kindoa, ndio unasikia mambo ya Mke kumpimia mumewe UNYUMBA.
Athari zingine ni Kuharibika Kwa mimba, Mabadiliko ya Hedhi,
Wanawake hawakuumbwa kufanya kazi nzito na zenye kuhitaji nguvu. Ndio maana hakuna USAWA wa kijenda.
Una maana gani unaposema "Jamili walipoweka majukumu" ?! Hebu taratibu dogo, yani majukumu yaliwekwa na jamii ?! Kwa mfano hapo awali nyakati za kale mwanaume kuwinda na mwanamke kutunza nyumba na watoto, kuliwekwa na jamii ?!Kwamaaana at Jamii ilipo weka majukumu waliangalia kwa upande wa sex
No sio uvivu Bali nikatika kisaidiana katika majukumu nilipokeaga kesi mmoja baba alikuwa na kazi yake mzuri ilipokuja ishu ya vyet feki baba akatolewa kwenye system akawa Hana kazi mke akapandishwa cheo akawa meneja wa bank fulani si bas mume akawa anakaa ty nyumbani akawa anawaanda watoto wanaenda shule ila mama hayuko na time na watoto zarau zikazidi ndani baadae akawa anadai talaka ndipo ikaletwa kwangu ikafika hatua watot watakaa wapi na huduma za malezi ya watoto zinatolewaje ikabidi tuwaulize watoto sehemu wanayo taka kwenda kukaa wakasema kwa baba mama akapanic watoto wakatoa reason moja tu kuwa baba Hana tucare differ na mama ikabd hakubali watoto waende kwa baba na matuzo atakuwa anatoa yeye Nini nataka kusema wanaume pia ni walwzi wazuri Sana katika familia zetu Tena. SnaNdio tunasema huo ni uvivu,
Sasa Kama Mwanaume ni mzalishaji pesa mzuri anashindwaje kutafuta Maids wa kusaidia hapo nyumbani?
Mwanaume anaweza fanya hivyo lakini iwe mara moja moja Sana yaani Kwa nadra,
Tangu enzi na enzi Jamii ilikuwepo na ndio ilio chagua kuwa mwanaume akawinde wewe mwanamke atunze familia pindi mwanaume anapoenda kulinda ata wanyama Kuna Jamii yao kama vile Simba dume hawz kwenda kuwinda ila Simba jike ndio anaweza kuwindaUna maana gani unaposema "Jamili walipoweka majukumu" ?! Hebu taratibu dogo, yani majukumu yaliwekwa na jamii ?! Kwa mfano hapo awali nyakati za kale mwanaume kuwinda na mwanamke kutunza nyumba na watoto, kuliwekwa na jamii ?!
Wanyama pia wana majukumu tofauti kulingana na jinsi njiwa dume hujenga kiota na njiwa jike hutaga na kuatamia mayai, je na wao majukumu haya "walipewa" na jamii ?!
Njiwa, wanyama na wadudu wanamajukumu tofauti madume kwa majike na wao ni sehemu ya jamii ?! Au ni maumbile yao kiasili yalidetermine roles/majukumu yao jofauti ?
No sio uvivu Bali nikatika kisaidiana katika majukumu nilipokeaga kesi mmoja baba alikuwa na kazi yake mzuri ilipokuja ishu ya vyet feki baba akatolewa kwenye system akawa Hana kazi mke akapandishwa cheo akawa meneja wa bank fulani si bas mume akawa anakaa ty nyumbani akawa anawaanda watoto wanaenda shule ila mama hayuko na time na watoto zarau zikazidi ndani baadae akawa anadai talaka ndipo ikaletwa kwangu ikafika hatua watot watakaa wapi na huduma za malezi ya watoto zinatolewaje ikabidi tuwaulize watoto sehemu wanayo taka kwenda kukaa wakasema kwa baba mama akapanic watoto wakatoa reason moja tu kuwa baba Hana tucare differ na mama ikabd hakubali watoto waende kwa baba na matuzo atakuwa anatoa yeye Nini nataka kusema wanaume pia ni walwzi wazuri Sana katika familia zetu Tena. Sna
HowSio kweli