Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
Morning
Gender ni social formed yaani Jamii ndio imeitengeneza gender ivi tunavyo muona mwanaume wa Leo na mwanamke wa leo alivyo ni matokeo ya gender.
Mwanaume au mwanamke kuvaa anavyo vaa ni Jamii iliamua kuwa mwanamke avae sketi na mwanaume avae suruali ni Jamii ndio ime mtengeneza mwanamke na mwanaume.
Gender imekuwa na matokeo mazuri na mabaya mabaya yapo Zaid kwenye malezi yaani malezi ya mtoto wakiume na wakike ni tofauti Jamii iliamua mwanaume awe kichwa Cha familia na mwanamke awe mama wa nyumbani yaani jamiii ilipendelewa zaidi kuona mwanaume anafanikiwa zaidi kitendo kilicho mpa mwanaume kibuli katika familia.
Mwanaume alipewa muda mwing wangi wakupumzika ila mwanamke alikuwa na heka heka za nyumban kufua, kupika , usafi wa nyumbani, mwanaume yy alikuwa anakazi ya kula na kulala kisa anaaminishwa kuwa yeye ni kichwa Cha familia
Matokeo ya malezi haya ndio tunamuona mtoto wakiume ana miaka 22 anakula chombo anaacha mezani hajui at kupika chai ambapo mtoto huyu ikitokea wazaz wake wamefariki awezi kuishi na mtu yoyote kwasababu labda anaenda kwa ndugu ambapo mtoto wakiume nae anafanya kazi Kama kawaida mtt huyu ukimwambia aoshe vyombo ataona una mnyanyasa kwa Sababu yeye ni yatima na haya Mambo yapo katika Jamii yetu na bado wazazi mnayafumbia macho mkihisi ni malezi mazuri.
Kuna utofauti ambao unatutofautisha Kati ya mwanaume na mwanamke kitu kinachopelekea Kuna vitu mwanamke ashindwe kufanya na mwanaume ashindwe kufanya pia.
Nishauri wazazi mulee watoto wenu Kama Brenda ya multiple ambapo mtoto ataweza kuishi popote pale atakama utakuwepo au lah watoto wakike now day miaka 13 hajui at kupika chai et wakisha halikadhalika wakiume hata kujiongeza hawezi kazi kushinda kwenye tv kuangalia mpira mpka jioni.
Nawasilisha be patient.