#COVID19 Suala la Chanjo: Kwanini Askofu Gwajima anaandamwa?

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Haya yote yanaibuka kwa sababu anaeleza anachokiamini, na ambacho dunia nzima inakijua juu ya hiki mnachokiita chanjo? Hivi ni kweli ninyi mnataka kuniambia hamjasoma utata uliopo kwenye hizi chanjo za mwendokasi?

Hamjui kwamba kuna watu wanachomwa chanjo kwa sabbu tu hawana choice baada ya kubanwa na maradhi ama sheria lakini si kwamba hawajui madhara na utauta wa yasiyojulikana mbele yao?

Nyie mnataka kuishi dunia gani isiyokuwa na taarifa kama hizi? Kitu gni leo kinawapelekea muanze kuandama uhuru wa Gwajiam wa kutoa mawzo yake, ikiwa hata ninyi mmekuwa na uhuru wa kutoa mawazo yenu bila ya kupewa majina ya taarabu?

Hivi mnaweza kujifnaya wanasayansi na kutaka kuchukua madaraka juu ya afya na nafsi za binadamu ikiwa tu hakuna kitu mnajua kukiunda? Mnawapigia debe waliotengeneza chanjo, bila kuangalia waliotengeneza corona? Nafasi ya watengeneza corona katika utengenezaji wa hiki mnakiita chanjo ni ipi?

Mhahiyari ya kuchukua misimamo yenu, lakini hamna haki ya ku attack others' personal positions in this mattter. Watu wenye ufahamu hawawezi kubeba siasa na kugandisha kwenye masuala ya uhai wa miili na nafsi za binadamu. Wewe umeamua kukkubali, nenda kachomwe hata chanjo kumi. Rasi wa nchi amesema chanjo ni hiyari, wewe nani unaanza ku PERSECUTE wenye msimamo tofauti na mawazo yako? Au ni zile tabia za kiswahili kwamba kama ni kufa tufe wote? Kufa kivyako kama vile ulivyozaliwa kivyako, na wengine
watakufa kivyao kama walivyzaliwa kivyao.

MSITAKE KUWAFANYA WATU WOTE MANYUMBU WAKUFUATE MIKUMBO BILA KUTUMIA AKILI. KAMA WEWE UNAISHI KWA KUFUATA MIKUMBO KILA LIKISEMWA UNASHANGILIAL, ENDELEA NA MAISHA HAYO ULIYOCHAGUA. KAMA WEWE HUTAFUTI MAARIFA UNASUBIRI KILA KITU UFANYIWE HICHO NI KIWANGO CHAKO.

ACHENI KU PERSECUTE WATU WANAPOTUMIA MUDA WAKO KUTOA TAHADHARI NA MAWAZO MBADALA. Kumbukeni ninyi hamkuumba mtu yeyote, na ninyi ni viumbe tena viumbe dhaifu ambavyo kwa bahati yoyote vinaishi katika ardhi yenye idadi kubwa ya watu wasio na maarifa.

LOW MINDSETS DISCUSS PEOPLE, MIDIUM MINDSETS DISCUSS EVENTS BUT HIGH MINDSETS DISCUSS ISSUES
Angalieni sana katika hili ndugu zangu msianze ku dhikisha watu wengine kwa kuwa tu hawaendi nanyi katika njia zenu. Mtatoa hesabu.

Asante sana Criterion japokuwa umepigwa ban ila mawazo yako yatadumu!
 
Gwajima anaupiga mwingi sana,hivi sasa hakuna kiongozi yoyote wa CCM na Serikali yake anayetetea hii chanjo anaweza kuaminika kwa wananchi. Gwajima ameibuka kidedea kwenye huu mpambano. Askofu Rashid kanyagia hapo hapo hakuna wa kukutisha nchi hii wewe una watu.
 
Anaandamwa kwa sababu kuna kikundi kidogo cha matajari kilichoona Corona ni fursa na kikajipanga kuitumia, bahati mbaya wakati wa Chuma mipango yao ya kibiashara kupitia Corona ilifariki kutokana na msimamo wa awamu ile, ila sasa baaada ya Chuma kung'oka katika mazingira tatanishi, kikundi hiki kimekua kikitumia kila mbinu kumshawishi mwana Mama (Mara kadhaa amenukuliwa akisema 'nimpokea simu/meseji nyingi' za wafanyabiashara) akubali kufuata upepo Juu ya suala la Corona ili maslahi yao yasipotee hewani kama awamu ya 5. Hivyo basi kundi hilo liko tayari kufanya lolote kuhakikisha Biashara yao juu ya Corona haivurugwi na mtu yeyote.

Mfano juzi tu hapa watu wa kwanza kwanza kabisa kumjibu Gwajima wamefahamika hadharani kuwa wana mzigo wa chanjo wanataka kuuleta nchini, sasa unadhani kipindi cha nyuma walikuwa wamejipanga kwa yapi?
 
... mtu anayepotosha umma kwa makusudi ni hatari sana! Ni sawa na yule aliyesema hakuna Corona; mara iko chache; mara ni vimafua tu! Gonjwa la maangamizi sio kitu cha kufanyia mzaha regardless of one's title or status in the society anatakiwa apingwe kwa nguvu zote.
 
Anaandamwa kwa sababu kuna kikundi kidogo cha matajari kilichoona Corona ni fursa na kikajipanga kuitumia, bahati mbaya wakati wa Chuma mipango yao ya kibiashara kupitia Corona ilifariki kutokana na msimamo wa awamu ile, ila sasa baaada ya Chuma kung'oka katika mazingira tatanishi, kikundi hiki kimekua kikitumia kila mbinu kumshawishi mwana Mama (Mara kadhaa amenukuliwa akisema 'nimpokea simu/meseji nyingi' za wafanyabiashara) akubali kufuata upepo Juu ya suala la Corona ili maslahi yao yasipotee hewani kama awamu ya 5. Hivyo basi kundi hilo liko tayari kufanya lolote kuhakikisha Biashara yao juu ya Corona haivurugwi na mtu yeyote. Mfano juzi tu hapa watu wa kwanza kwanza kabisa kumjibu Gwajima wamefahamika hadharani kuwa wana mzigo wa chanjo wanataka kuuleta nchini, sasa unadhani kipindi cha nyuma walikuwa wamejipanga kwa yapi???
Adhim Dewjjjjj Ana shehena kubwa ya madawa ya koroneli
 
Haya yote yanaibuka kwa sababu anaeleza anachokiamini, na ambacho dunia nzima inakijua juu ya hiki mnachokiita chanjo? Hivi ni kweli ninyi mnataka kuniambia hamjasoma utata uliopo kwenye hizi chanjo za mwendokasi?

Hamjui kwamba kuna watu wanachomwa chanjo kwa sabbu tu hawana choice baada ya kubanwa na maradhi ama sheria lakini si kwamba hawajui madhara na utauta wa yasiyojulikana mbele yao?

Nyie mnataka kuishi dunia gani isiyokuwa na taarifa kama hizi? Kitu gni leo kinawapelekea muanze kuandama uhuru wa Gwajiam wa kutoa mawzo yake, ikiwa hata ninyi mmekuwa na uhuru wa kutoa mawazo yenu bila ya kupewa majina ya taarabu?

Hivi mnaweza kujifnaya wanasayansi na kutaka kuchukua madaraka juu ya afya na nafsi za binadamu ikiwa tu hakuna kitu mnajua kukiunda? Mnawapigia debe waliotengeneza chanjo, bila kuangalia waliotengeneza corona? Nafasi ya watengeneza corona katika utengenezaji wa hiki mnakiita chanjo ni ipi?

Mhahiyari ya kuchukua misimamo yenu, lakini hamna haki ya ku attack others' personal positions in this mattter. Watu wenye ufahamu hawawezi kubeba siasa na kugandisha kwenye masuala ya uhai wa miili na nafsi za binadamu. Wewe umeamua kukkubali, nenda kachomwe hata chanjo kumi. Rasi wa nchi amesema chanjo ni hiyari, wewe nani unaanza ku PERSECUTE wenye msimamo tofauti na mawazo yako? Au ni zile tabia za kiswahili kwamba kama ni kufa tufe wote? Kufa kivyako kama vile ulivyozaliwa kivyako, na wengine
watakufa kivyao kama walivyzaliwa kivyao.

MSITAKE KUWAFANYA WATU WOTE MANYUMBU WAKUFUATE MIKUMBO BILA KUTUMIA AKILI. KAMA WEWE UNAISHI KWA KUFUATA MIKUMBO KILA LIKISEMWA UNASHANGILIAL, ENDELEA NA MAISHA HAYO ULIYOCHAGUA. KAMA WEWE HUTAFUTI MAARIFA UNASUBIRI KILA KITU UFANYIWE HICHO NI KIWANGO CHAKO.

ACHENI KU PERSECUTE WATU WANAPOTUMIA MUDA WAKO KUTOA TAHADHARI NA MAWAZO MBADALA. Kumbukeni ninyi hamkuumba mtu yeyote, na ninyi ni viumbe tena viumbe dhaifu ambavyo kwa bahati yoyote vinaishi katika ardhi yenye idadi kubwa ya watu wasio na maarifa.

LOW MINDSETS DISCUSS PEOPLE, MIDIUM MINDSETS DISCUSS EVENTS BUT HIGH MINDSETS DISCUSS ISSUES
Angalieni sana katika hili ndugu zangu msianze ku dhikisha watu wengine kwa kuwa tu hawaendi nanyi katika njia zenu. Mtatoa hesabu.

Asante sana Criterion japokuwa umepigwa ban ila mawazo yako yatadumu!
Nilikula ban kwa kuwaelekeza watu dawa na kinga ya Corona iliyotuvusha sana kwenye milipuko iliyopita. Wafanyabiashara ya chanjo wanadhani wana nguvu ya kuzuia watu kupeana habari sahihil ila ku promote biashara yao. Ninadhani soon nitapigwa ban ya mwaka mmoja kwa sababu, siyo haki kutufanya wote mazezeta wa kubeba migizo ya corona vichwani kwa niaba ya matumbo ya mawakala wa mashetani.
 
Kwa sababu anasema kweli.
Kwa sababu ya wale wanaoshiba kwa mgongo wa rais,hawataki akosolewe hata Kama kakosea.
 
Back
Top Bottom