Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,710
- 8,007
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...