Acheni upuuzi nyie hata x mas crdb wanafungua baadhi ya matawi kama walivyofanya kwenye eidUsifananishe xmass na vitu vya hovyo,xmass ni sherehe ya dunia ,period.
Acheni upuuzi nyie hata x mas crdb wanafungua baadhi ya matawi kama walivyofanya kwenye eidUsifananishe xmass na vitu vya hovyo,xmass ni sherehe ya dunia ,period.
Kabisa aisee haya mambo yameanza miaka kadhaa nyumaUko nyuma ya muda
Huwa unafanyaje kwa siku za jumapili boss?
Kwa CRDB kuna baadhi ya matawi katika mikoa kadhaa wanafanya kazi jumapili na siku za sikukuu ni wewe tu naona hulijui hili, mfano Mwanza branch iliyoko jengo la NSSF linafanya kazi siku zote. Hata Diamond Trust Bank nao kuna matawi wanafanya kazi jumapili na public holiday, tena hawa wameenda mbali zaidi matawi hayafungwi saa kumi moja jioni ni hadi saa moja usiku wanafanya kaziHuwa unafanyaje kwa siku za jumapili boss?
Nafikiri ingekuwa vizuri kwa waislamu wasiende kazini ila wa imani nyingine waendelelee na kazi vivyohivyo kwa wakristo wa jumamosi na jumapiliNimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...
Hata leo TRA kinondoni wamefunguaWafanyakazi Waislamu wamepewa ruhusa ya kusherehekea sikukuu yao na Wafanyakazi Wakristo wako kazini kwa niaba yao, sijaona ubaya hapo. Mbona wiki iliyopita Jumamosi na Jumapili TRA walifungua ofisi sikuona malalamiko yako hapa?
Waajiri wengi huwa hawajatambua tu mfanyakazi yeyote itimize wajibu wake lakini siku za sikukuu au ibada waruhusiweCRDB Mlimani na Tanzania Postal Bank Mlimani huwa wanafungua Jumapili na siku za sikukuu za kikristo.
Mkuu una udini sana khaa
Wewe ndiyo umeharibu na kuchochea zaidi udini hapo ulipoleta mfano wa timu za soka.Wewe ni mchochezi wa kidini. Kwa akili yako unataka uanze kufananisha Pasaka, Christmas na Eid yenu.
Yaan hapo ni sawa na kufananisha NAMUNGO FC na BARCELONA.
Kubali tu Uislamu ni ka-dini kadogo Tanzania. Ila ukienda Moroco au Tunisia ni kawaida kukuta ofisi zipo wazi Jumapili na Pasaka kwa kuwa Uislamu kule ni dini kubwaaa!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Acha kuwa mbaguzi wa dini..Pia sio branch zote huwa wazi na kuwezesha kupangwa zamu wasio waislam ili staff waislam wakasherehekee.Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...
Athari sa nguruwe hiziWewe ni mchochezi wa kidini. Kwa akili yako unataka uanze kufananisha Pasaka, Christmas na Eid yenu.
Yaan hapo ni sawa na kufananisha NAMUNGO FC na BARCELONA.
Kubali tu Uislamu ni ka-dini kadogo Tanzania. Ila ukienda Moroco au Tunisia ni kawaida kukuta ofisi zipo wazi Jumapili na Pasaka kwa kuwa Uislamu kule ni dini kubwaaa!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kula nguruwe kwako ni dhambi ila kufuga majini na kulawiti sio dhambi.Athari sa nguruwe hizi
Umelewa ulichojibu au unabwabwaja kama kawaida nyie wafuasi wa mudi....yaaan hapo umeshiba biriani na kibaragashia kichwani unacheua tu hapo na kuongea utopolo,yaaan unataka kulinganisha ukubwa Wa xmass na hicho kiidi ...yes xmass wanafungua na hatulalamiki kama nyie japo xmass ni kubwaAcheni upuuzi nyie hata x mas crdb wanafungua baadhi ya matawi kama walivyofanya kwenye eid
Vilalamishiiiiii kamq vitoto wa kambo vileeeKwa hiyo wewe Bank kufunguliwaa leoo kimekuumaaa sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waislamu mna nini lakini??????