Suala la Bank kama CRDB kufungua ofisi leo

Naishangaa mijitu mingine inajiona yenyewe ndio inamjua Mungu sana...hivi tangu uanze kusheherekea hii sherehe miaka yote hiyo umepata nini...hapo tu usikute anasubiri kualikwa.....Kikawaida hakuna siku nzuri ya kupiga kazi kama leo maana kuna OT nzuri sana, kuna maustadhi ofisini hawachezi mbali na hizi siku cha muhimu kwao wasikose kuswali tu mengine hayo waachie wenye nafasi.
 
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.

2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.

3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.

Wadau sijui mnalionaje hili...
Hapo ndugu unakuwa unakosea kama kila kitu ukikiangalia kwa jicho la dini,
Benk nyingi zina matawi yanatofanya kazi jmosi, jpili, sikukuu, kama mfanyakazi, dini inamzuia, ofisi nyingi zinautaratibu mzuri tu,
Hata kama kuna sikukuu,wapo watu kibao ambao wanaendelea kupiga kazi, wageni, wafanyabiashara, sasa kama taasisi ya fedha na biashara lazima uweke utaratibu wa kuwahudumia hao wateja wako,
Kuna taasisi watu hawaachi kufanya kazi,
Sasa kama upo lindoni ikulu, utasema leo sikukuu, sifanyi kazi?
Ni suala dogo la mtu mmoja mmoja kulifanyia kazi kama yeye na muajiri Wake, lisifanywe ni ishu ya waumini wa dini wote,
Ila Islam, na wasababto, ni pasua kichwa sana,
chuo kuna wanafunzi waligoma kufanya test, kisa ni ijumaa na sabato imeanza, wengine islam, walitaka wapewe darasa Maalum la kuswalia,
 
Mimi naona tusiwapangie watu utendaji wa kazi zao, wanapokosea ndio tuwarekebishe kwa kuwashauri.
 
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.

2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.

3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.

Wadau sijui mnalionaje hili...
Kwani hii siku ina umuhimu gani
 
Huwa kuna baadhi ya matawi ndio huwa yanafunguliwa hadi sikukuu, na ni sikukuu zote ili kuwezesha watu wenye dharura kufanikisha mipango yao
 
Wafanyakazi Waislamu wamepewa ruhusa ya kusherehekea sikukuu yao na Wafanyakazi Wakristo wako kazini kwa niaba yao, sijaona ubaya hapo. Mbona wiki iliyopita Jumamosi na Jumapili TRA walifungua ofisi sikuona malalamiko yako hapa?
Tatizo ,viislamu vilalamishi sana
 
Ela zinahitajika kwa wingi siku ya leo ndiyo maana...Lakini pia leo wanaoingia malipo yao ni tofauti na siku za kawaida na si wafanyakazi wote wanafanya kazi leo, ivyo kama ni muislam huitaji kufanya kazi utakua off.

Mbona hujauliza kwanini maduka,hospital,usafiri na nk viko wazi??
CEO wa CRDB ni Muislam pia.
 
Hapo ndipo nimeshangaa zaidi...Abdul ameruhusu vipi?...au kuna top office analazimisha..Ela huwa tunatumia ATM boss.
Utatoa 6mil kwenye ATM? Kumbuka kuna watu tunaendelea na biashara leo kama kawaida, mtu anataka akanunue kreti 200 za bia asambaze kwa wateja, alale na pesa ndani kwake hadi asubuhi?
 
Mkuu Author

Ninini lengo lako juu ya huu uzi,you know...sikuwa nimekuelewa vizuri mpaka hapa nimesoma post mbili tatu nimeelewa lengo lako,hivi hao wanaofanya kazi leo umewaona wamevaa badge zenye majina ya kiislam?

Akili yako imeshindwa kuchakata kujua labda wanaofanya kazi leo ni Wakristo au wapagani?mbona ni kiasi kidogo cha akili kingetumika kuyajua hayo!Mods toeni huu ujinga unajaza server tu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu la hilo swali lake ni rahisi, kuna matawi maalum ambayo huwa yanateuliwa kufanyakazi weekend na sikukuu zote, so hata jpili unatafuta tawi lililoteuliwa na unaenda kufanya miamala
 
Hapo ndugu unakuwa unakosea kama kila kitu ukikiangalia kwa jicho la dini,
Benk nyingi zina matawi yanatofanya kazi jmosi, jpili, sikukuu, kama mfanyakazi, dini inamzuia, ofisi nyingi zinautaratibu mzuri tu,
Hata kama kuna sikukuu,wapo watu kibao ambao wanaendelea kupiga kazi, wageni, wafanyabiashara, sasa kama taasisi ya fedha na biashara lazima uweke utaratibu wa kuwahudumia hao wateja wako,
Kuna taasisi watu hawaachi kufanya kazi,
Sasa kama upo lindoni ikulu, utasema leo sikukuu, sifanyi kazi?
Ni suala dogo la mtu mmoja mmoja kulifanyia kazi kama yeye na muajiri Wake, lisifanywe ni ishu ya waumini wa dini wote,
Ila Islam, na wasababto, ni pasua kichwa sana,
chuo kuna wanafunzi waligoma kufanya test, kisa ni ijumaa na sabato imeanza, wengine islam, walitaka wapewe darasa Maalum la kuswalia,
Wasabato ndio washenzi kuliko hata hao wa baragashia, kuna kipindi niko chuo waligoma kufanya chochote jumamosi na tulikuwa field, ilibidi wahurumiwe tu kwa kuwekea special session siku iliyofuata, yaani wanataka kujionesha kwamba wapo kwa kudisruot normal proceedings za wengine, ndio maana huwa nasema, Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba dunia
 
Back
Top Bottom