Suala la Bank kama CRDB kufungua ofisi leo

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,706
7,990
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.

2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.

3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.

Wadau sijui mnalionaje hili...
 
Huwezi ukakuta x mass day bank zimefungua offisi
 
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.

2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.

3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.

Wadau sijui mnalionaje hili...

Leo hela zinahitajika sana mkuu.so wamefungua ili kuwasaidia waislam washerehekee sikuu vizuri.

KUMBUKA :Ceo wa CRDB anaitwa Abdul Majid
 
Hapo ndipo nimeshangaa zaidi...Abdul ameruhusu vipi?...au kuna top office analazimisha..Ela huwa tunatumia ATM boss.
 
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.

2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.

3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.

Wadau sijui mnalionaje hili...
Wewe ni mchochezi wa kidini. Kwa akili yako unataka uanze kufananisha Pasaka, Christmas na Eid yenu.

Yaan hapo ni sawa na kufananisha NAMUNGO FC na BARCELONA.

Kubali tu Uislamu ni ka-dini kadogo Tanzania. Ila ukienda Moroco au Tunisia ni kawaida kukuta ofisi zipo wazi Jumapili na Pasaka kwa kuwa Uislamu kule ni dini kubwaaa!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kumjibu mleta uzi bila kukashifu dini nyingine?...kwa hichi ulichoandika wewe ndiye mchochezi kabisa..
 
Wafanyakazi Waislamu wamepewa ruhusa ya kusherehekea sikukuu yao na Wafanyakazi Wakristo wako kazini kwa niaba yao, sijaona ubaya hapo. Mbona wiki iliyopita Jumamosi na Jumapili TRA walifungua ofisi sikuona malalamiko yako hapa?
 
Unazungumzia CRDB?leo nilikuwa TRA na wapo wazi mpaka saa 16:00 nadhani kuna posho wanapata,but kama unazungumzia kwa minajili ya imani wanaofanya hizo kazi wanaweza wasiwe waislam but hata kama ni waislam kama hela inaingia na hakuna aliyelalamika sioni haja ya wewe kuhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa unafanyaje kwa siku za jumapili boss?
Mkuu Author

Ninini lengo lako juu ya huu uzi,you know...sikuwa nimekuelewa vizuri mpaka hapa nimesoma post mbili tatu nimeelewa lengo lako,hivi hao wanaofanya kazi leo umewaona wamevaa badge zenye majina ya kiislam?

Akili yako imeshindwa kuchakata kujua labda wanaofanya kazi leo ni Wakristo au wapagani?mbona ni kiasi kidogo cha akili kingetumika kuyajua hayo!Mods toeni huu ujinga unajaza server tu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.

2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.

3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.

Wadau sijui mnalionaje hili...
Acha udini wewe....kwa wenzetu benki ni 24hrs na 24/7...nenda Dubai ukajionee kama hawajafungua leo benki.....kila kitu uislamu uislamu...mbona ..mbona acheni mambo yakizamani elimikeni...Kwa taarifa yako hata CEO wa hiyo benki ni muislamu.
 
CRDB siku hizi kuna matawi maalumu hutoa huduma mpaka siku za sikukuu na siku za kitaifa.
Wewe si mfuatiliaji mzuri ndio maana unashaanga hili la leo.
Sikukuu zote hufanya hivi, nenda page ya crdb Facebook kasome post zao za nyuma uone
Hapo juu kuna sehemu nimemjibu leo hata TRA Kariakoo wamefungua na wapo mpaka saa kumi jioni,na wanaofanya kazi siku kama ya leo wanapata bonus hata kama mtu akiwa muislam kama ana njaa zake na anaona kuna hela nzuri inaingia kwani akiingia nusu siku akatoka saa 7 akaenda kusherehekea na familia yake kuna ubaya gani?

Kujifanya watu wa dini sana hata uwezo wa kufikiri hupungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom