Hamna mbunge wa CCM alioko juu ya msimamo wa chama usidanganyika, na hamna mtanzania anae weza kuzuia CCM kutwaa madaraka......wewe angalia familia yako na wajuku wako period.Nimemsikiliza Waziri Mbarawa Bungeni,nimemsikiliza Msigwa,nimewasikiliza baadhi ya wabunge wa CCM Bungeni,bado naona hawajakata kiu ya watanzania kuhusu hilo Suala!!
Swali ambao najiuliza,kwa nini Mwanasheria Mkuu amebaki kimya?, Kwa nini wale wabunge angalau wanaoheshimika mbele wananchi wamebaki kimya kwenye hili sakata?,bahati mbaya Sana Waziri husika hana ushawishi mbele wa wananchi na watanzania kwa ujumla,kuendelea kumtegemea Mbarawa kuwa atawaelimisha wananchi tunajidanganya!!
Hili Suala sio dogo Kabisa,Chama kiwazue wanasiasa ndani ya CCM kulizungumzia na badala yake,watumike watendaji walioko Serikalini kuja kutolea ufafanuzi!!
Rais wetu wa awamu wa sita alianza Vizuri Sana,lakini kwa hili la Bandari limefuta mema yake yote aliyoyafanya ndani ya Miaka miwili!!
CCM wote ni wajinga
Yule Bibi FaizaFoxy anasema sio mkataba na haukua umesainiwaNajiuliza kwa nini tuletewe mkataba ambao tayari ulishasainiwa mwaka mmoja nyuma?
Halafu ni kwa nini hauna ukomo wa muda?
Kwa nini terms & conditions haziko wazi?
Kisukari kilikuwa kimempanda! [emoji23]Yule Bibi FaizaFoxy anasema sio mkataba na haukua umesainiwa
sijamuona tena since then.
Unawalaum bure wabunge wa CCM na wanasiasa wa CCM maan hakuna mwenye mamlaka ya kupinga miswada yoyote ya serikali inayoongozwa na mwenyekiti!!Nimemsikiliza Waziri Mbarawa Bungeni,nimemsikiliza Msigwa,nimewasikiliza baadhi ya wabunge wa CCM Bungeni,bado naona hawajakata kiu ya watanzania kuhusu hilo Suala!!
Swali ambao najiuliza,kwa nini Mwanasheria Mkuu amebaki kimya?, Kwa nini wale wabunge angalau wanaoheshimika mbele wananchi wamebaki kimya kwenye hili sakata?,bahati mbaya Sana Waziri husika hana ushawishi mbele wa wananchi na watanzania kwa ujumla,kuendelea kumtegemea Mbarawa kuwa atawaelimisha wananchi tunajidanganya!!
Hili Suala sio dogo Kabisa,Chama kiwazue wanasiasa ndani ya CCM kulizungumzia na badala yake,watumike watendaji walioko Serikalini kuja kutolea ufafanuzi!!
Rais wetu wa awamu wa sita alianza Vizuri Sana,lakini kwa hili la Bandari limefuta mema yake yote aliyoyafanya ndani ya Miaka miwili!!
Mama Yanga HuyoKwanini auze Bandari zetu?
Anaweza kuuma shuka?
Naunga mkono hoja